Utapeli.bayport.mikopo

Huyu jamaa anadanganya umma, kama unataka kufa kwa presha basi kopa hivi vi kampuni vya Bayport, faidika na upuuzi puuzi mwingine hawa jamaa riba zao ni zaidi ya 50% ukiwauliza wanakataa ila ukifanya mahesabu mwenyewe utaona ukweli uliofichwa
 
Sijabisha nimekupa pole
Facts bro!!
Hapo juu ulisema wewe Sio mfanyakazi wao wala hufanyi marketing. Sasa hizo facts/details unazotaka zitakusaidia nini? tuendelee tu kupiga story za juu juu. Wao kampuni wakiona wanahitaji facts sijui details wataanzisha uzi wao, watu waanze kumiminika.

Otherwise tuendelee na story...
 
Huyu jamaa anadanganya umma, kama unataka kufa kwa presha basi kopa hivi vi kampuni vya Bayport, faidika na upuuzi puuzi mwingine hawa jamaa riba zao ni zaidi ya 5% ukiwauliza wanakataa ila ukifanya mahesabu mwenyewe utaona ukweli uliofichwa
Napenda michango yako
 
Mimi nilipoulizwa ulilipaje ulipokopa nilisema kwa uwazi, ndio maana nilitegemea nawewe ukibisha ufanye hivyo ila basi, Ubarikiwe, wote mm na wewe naona hatuna conflict of interest
 
Huyu jamaa anadanganya umma, kama unataka kufa kwa presha basi kopa hivi vi kampuni vya Bayport, faidika na upuuzi puuzi mwingine hawa jamaa riba zao ni zaidi ya 50% ukiwauliza wanakataa ila ukifanya mahesabu mwenyewe utaona ukweli uliofichwa
Ni mtizamo usijenge chuki,hata we una mtizamo wako
 
Nililipa 617 na machenchi hivi kwa mwaka mzima nadhani ilikua fair maana niliingiza 1,500,000 kwenye kuku
Huna wa kumdanganya hapa. Kajipange upya bro na hiyo promo yako
Mimi nilipoulizwa ulipaje nilisema, ndio maana nilitegemea nawewe ukibisha ufanye hivyo ila basi, Ubarikiwe, wote mm na wewe naona hatuna conflict of interest
 
Ni mtizamo usijenge chuki,hata we una mtizamo wako
Kama ulikua unajua ni mtizamo umekuja kunijibia nn sasa! Ungekaa kimya kuheshimu mtizamo wangu, ila ni ukweli mtupu acheni kudanganya watu na kuwaingiza kwenye matatizo ya madeni makubwa wakati mlichowapa ni kidogo, kuweni wakweli
 
Hata kiasi cha riba hujui, unawezaje kuconvice watu hapa.
 
Watafuta ajira ambao wanatarajia kuomba kazi hawa wakitangaza.....mnashauriwa msichangie hoja hii kwa kukandamiza......😉.Ila alichokisema mtoa mada hakiaminiki kabisa, huwezi kopa laki 5 ndani ya miaka mitano ukarudisha laki 6..., haiwezekani!!!!!!!...... Dhambi ya uongo ni mbaya sana!
 
Kuna kijana wangu mpaka leo analia na hatak kabisa kusikia kitu kinachoitwa Bayport, angekuona unavyowapa promo hao majizi angekupasua hicho kichwa chako.
 
Kama ulikua unajua ni mtizamo umekuja kunijibia nn sasa! Ungekaa kimya kuheshimu mtizamo wangu, ila ni ukweli mtupu acheni kudanganya watu na kuwaingiza kwenye matatizo ya madeni makubwa wakati mlichowapa ni kidogo, kuweni wakweli
Ok, ignored
 
Mwaka mmoja, nilisema mwaka jana nilikopa hiyo mitano sijui umetoa wapi
 
Bayport ofisini kwetu tunawaogopa kama ukoma maana walichomfanya mfanya kazi mwenzetu mpaka huruma
 
Bayport ofisini kwetu tunawaogopa kama ukoma maana walichomfanya mfanya kazi mwenzetu mpaka huruma
Matapeli yale, kuna jamaa yangu analia balaa, alikopa 2012 1m mpaka leo analipa 63000 kila mwezi jumla anatakiwa 3.6M
 
Nililipa 617 na machenchi hivi kwa mwaka mzima nadhani ilikua fair maana niliingiza 1,500,000 kwenye kuku
Hata kwa hesabu hii, riba ni 23.4%. Bado ni kubwa tu ukilinganisha na mabenki mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…