Harry singo
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 352
- 438
Kwa muda mrefu watu wamekuwa wakilalamika kwamba Bayport ni kampuni ya kukopesha yenye riba kubwa, wapinzani wakachukua nafasi hiyo kusema Bayport ni loansharks na mengine mengi LAKINI HIYO SIO KWELI Bayport wamepunguza sana riba zao huwezi amini hakuna financial institution nyingine inayoshinana na bayport kwa sasa kwa upande wa ubora wa mikopo mimi binafsi niliwahi kukopa 1,500,000 mwaka 2009 na nilipata shida sana na makato ya wakati huo, mwaka jana nikakopa 500,000 ili tu kuona kama taarifa za kuboreshwa kwa huduma zao ni kweli na tarehe 30 mwezi uliopita nimemaliza mkopo wangu na sijapata kero kama ya wakati ule ningependa kuwashauri watanzania wenzangu kwamba if you want to go for something go for it usisikilize maneno meengi,wengi wao ni wapinzani nimegundua. Kama ungependa kujaribu uhakika wa taarifa hizi za mikopo we jaribu kupiga namba zao 0684 034 666 hizo ndio fikra zangu,changia kwa uhuru matusi yameze taratibu sio lazima ujidhalilishe