illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Mtumishi wa umma ukisikia unaambiwa hilo neno ndo ujue kibarua kimeshaota nyasi ...kuna ndugu yangu tangu aambiwe atapangiwa kazi zingine mshahara amesitishiwa, kila akienda anaambiwa utapangiwa kazi zingine subiri kidogo...basi yupo yupo tu hajui aende kazini au akae nyumbani....hiyo ndiyo tafsiri sahihi ya neno utapangiwa kazi zingine