Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Bwana we kuna namna hizi sehemu nne zinakuwaga na vibe la namna yake,. Ofisini,. Kwenye Gari ( la kwanza mnabinua tu siti, la pili mnahamia kumalizia siti ya nyuma ) , Bafuni na Jikoni๐Ÿคญ๐Ÿคญ

Ilaaa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Bwana we kuna namna hizi sehemu nne zinakuwaga na vibe la namna yake,. Ofisini,. Kwenye Gari, Bafuni na Jikoni๐Ÿคญ๐Ÿคญ

Ilaaa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Em tupe uzoefu wako
 
Limshangazi ukiwa katika harakati za kugawa mautundu yako.
 
Bora ulivyowajibia hapa
Asante, hapa umewaweza maana kuna watu humu wanataka muda wote tujadili siasa za nchi na maendeleo yake.
Safi sana ๐Ÿค.

Kila mtu na hobby yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ