Utanijuaje??

Ila alinisikitisha rafiki yangu, best friend for 18 yrs now. Nilipomshawishi aingie jf, next day akaujua mwandiko wangu. I need to act up, boss wangu atanistukia soon. Its nice to be faceless, seriously. You can be yourself.
 
Mnabifurahisha nyie, visa tayari nini?

He he he, huyu si inajua kwa kuvuta cha iringa, kinamharibu uzeeni

Ila alinisikitisha rafiki yangu, best friend for 18 yrs now. Nilipomshawishi aingie jf, next day akaujua mwandiko wangu. I need to act up, boss wangu atanistukia soon. Its nice to be faceless, seriously. You can be yourself.

Mie hata sitaki kusema
Kama mtu anaujua mwamniko wako lazima akukurupushe aisee
 
Jaribu kuangalia wakaka wote warefu mjini, when I say tall guys I mean 6ft and above...mmoja wao ni watu8

yaani nahisi nikiangaliana na watu wa namna hiyo naweza jikuta natabasamu au nacheka baada ya kupishana na mtu mrefu lol sasa sipati picha kitanda chako kitakuweje futi 10 lol special order.
 
he he he, ukikutana na mtu
-mwembamba sana, black beauty, mrefu kiasi
-akiwa restaurant, sparkling water, kuku
-usafiri ni bajaj kwa kwenda mbele (huwa wananitania hata kama nimepanda vogue, nikiona bajaj nataka kushuka)
-madera yanahusika sana

daaah huwa naedmire sana watu wembamba on madera as kuna ambao huwa yanawatoa sana naweza jikuta namsalimia mdada wa namna hiyo nikikutana nae mambo Kongosho kumbe sie akantoq balu heheheheheee
 

heheheehheeeeeee
msuli mambo ya pwani hewaaa na kupunga upepo au nanihiii......................(joking)
 
Ukiona kibabu Conservative, kikorofi mtaani na kila sehemu, ujue ni HP huyo!

looh nguvu ya farasi ndo weye unayewapandishaga vijana milegezo yao na kuwaambia nguo inaanguka kumbe wao wako kwenye fashion
 

huyu wazungu wanamuita mnyamwezi nitakuwa member mzuri wa cinema theater hasa ya mlimani city ntajikuta natabasamu tuu nikikuona looh
 
Njoo tandale kwa mtogole, kijana mlevi utakaye mkuta amevaa kandambili ndo mimi, just say helo

kweli JF kuna kila sampuli daaah!! huko huwa nafika sokoni kununua mchele wa bei rahisi, ntakupa hi next week end nikija
 
ukija the rock city ukakutana na mdada mwenye haiba kama za huyu hapa chni, hakika utakuwa umekutana na charminglady mwenyewe a.k.a mrs. C6 a.k.a mama kijacho!!!!!!!!!!!!!!

N.B. saiv nina jitumbo so nipo tofauti kidogo ila baada ya muda nitarudia umodo lolest.....

 
Last edited by a moderator:
Mh! kwa sisi wa jukwaa la siasa tuanyomkashifu kikwete na ccm yake tukisubutu kuweka details zetu hapa, kesho mtu anaokotwa mabwepande.

heheheheheheee pole for that case u r reserved, usalama kwanza.
 
a ha ha ha, hata mie kuna watu huwa nawaona barabarani nahisi huyu ndo fulani labda

daaah huwa naedmire sana watu wembamba on madera as kuna ambao huwa yanawatoa sana naweza jikuta namsalimia mdada wa namna hiyo nikikutana nae mambo Kongosho kumbe sie akantoq balu heheheheheee
 
Ukiingia bar yeyote wekend ukakuta jamaa mrefu kiaina amekaa counter anagonga ndovu au light za kutosha hadi dada wa counter anafunga ofisi ujue Mkata kiu yupo around.
 
Ukiona mtu anaingia kujitambulisha alivyo halafu hajitambulishi ujue ni HP1
 
ukiingia bank ukimwona mtu kavaa pensi.t shirt na open shoes is the one

hehehehehehehheee huwa nawaangalia sana watu wanaoingia bank like that nahisi nlishakuona hasa siku za week end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…