Utani wa Profesa Ndalichako dhidi ya utamaduni wa taifa letu

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
478
Ni kama "Mwamba" hayati John Joseph Pombe Magufuli unaweza kusema alikuwa na kajicho kaunabii fulani ndani ya mboni yake hasa pale analiposimama na kusisitiza zaidi ya mara tano katika majukwaa tofauti ya kisiasa na kusema, nanukuu"....watanzania mtanikumbuka na sio kwa mabaya hila kwa mazuri..".

Wakati mwingine unajiuliza maswali mengi kidogo, kuwa Je, John Magufuli "Mwamba" alipata wapi confidence ya kuyatamka maneno haya hata kabla hajafariki dunia?.

Je,Chuma hayati JPM alikuwa anajua kuwa baada ya kifo chake kutakuja tokea kizazi kama cha kina PROFESA Joyce Ndalichako ambaye ni Mwalimu kitaaluma ambaye unaweza kusema ameshindwa acha kuusimamia Uprofesa wake bali kashindwa angalau kusimamia maadili ya Taifa pamoja na maadili ya taaluma yake mwenyewe ya ualimu.Niliwahi kuandika,"Nchi ya Drama Imeshaanza".

Wanasiasa wetu hawa tena wasomi wengine ngazi ya uprofesa badala ya kumshauri vizuri Mama huyu msikivu, yaliyo mema kwa mustakabali wa Mila na desturi za Taifa hili nao wameanza kuwaza jinsi ya kuimarisha uteuzi wao kwa Mh. Mama Samia Hassan kuelekea mwaka wa uchaguzi wa 2025 na kusahau kabisa wajibu wao wa kwa Taifa hili!

Makosa makubwa tunayoyafanya leo kama Taifa, kwa kuamua kuruhusu mambo yasiyo na tija kwa UTAMADUNI wetu kwa kisingizio cha kuutafuta ukombozi wa mwanamke tu, gharama yake inaweza isibebwe na Serikali ya awamu hii ya sita, LAKINI inaweza ikaja kubebwa na Taifa zima!Intervations hizi za kiwanaharakati tunazozifanya leo ndani ya Taifa letu, gharama yake ni nzito mno kuliko gharama ambazo wanazibeba Mama zetu na wanawake wa kitanzania leo dhidi ya mfumo dume huu!

NINI WANAWAKE WA KITANZANIA WANAPASWA KUJUA KUHUSU HIKI WANACHODHANI NI UKOMBOZI KWAO LEO?

1.Ukombozi wowote wa binadamu yoyote duniani, uwe wa ukombozi wa kiuchumi,kiutamaduni,kisiasa na hata kijinsia " it is based on a gradual process change..." na sio "event",kwa maana ya sio tukio!

2.Kama Mama zetu na jamii ya wanawake wa Kitanzania kwa ujumla, wanadhani au watadhani kuwa, ukombozi wao dhidi ya kile wanachoita mfumo dume katika jamii yetu ya Tanzania na Afrika, utapatikana kwa kufanya "matamko" na "matukio" basi wanajidanganya sana!

3.Yale yote yote yanayofanyika sasa, baada ya awamu hii yanaaenda/yatakwenda baadae kuzalisha kitu kipya kwa jina la "gender class struggle", mpya kabisa ya wanaume dhidi ya wanawake kuanzia majumbani mpaka Taifani.Kwa bahati mbaya sana "Gender Class struggle" hii itakayokuja ya wanaume dhidi ya wanawake, itakuja kuwa "more coesive " kwa wanawake zaidi, kuliko hii iliyopo sasa sababu kujikwamua huku kwa mwanamke kutoka katika mfumo dume,wanaume wengi watadhani/wanadhani, kunaendana na matukio ya kupoteza utamaduni,mira na ustaarabu wetu kama Taifa!

4.Ni wazi kuwa huko tuendako mbeleni, idadi ya wanawake katika uchaguzi wa mwaka 2025 ndani ya CCM itakuwa kubwa kuliko kipindi chochote katika historia ya Chama hicho!Hii ina maana gani?Natabiri uwepo wa mipasuko kwa kiasi fulani ndani ya CCM kutokana na upepo huu!Kama CCM haitoliona Hilo sasa,gharama yake kwa afya ya ushindi wa CCM itakuja kuonekana!

Mipasuko hii ya ki "gender powers struggle"haitoishia ndani ya vyama vya siasa tu bali itaenda mbali zaidi mpaka kwenye siasa za vyama kwa vyama hivyo kuweza kuleta mpasuko mkubwa wa kijinsia na Taifa kwa ujumla!

5.Serikali yangu ya CCM inapaswa kuwa makini mno na hii " evental gender transformation" tunayoitekeleza!Hii sio wazo baya LAKINI inaonekana approach yake inaweza kuleta madhara makubwa Kwa Chama changu!

kamwe wanaccm tusidhani kwamba "gender impowerment " ni tukio"event"ambalo linaweza kuwa "achieved" ndani ya miaka kumi!Lazima tujue kuwa" this is a gradual process which goes with natural factors such as time,interactions & social exposure".

Chama changu tawala yaani CCM, kikiendelea na njia hii kwa kuwachia watu"individuals", waamue mustakabali wa Nchi bila kuangalia madhara mapana kwa maslahi ya Taifa dhidi ya maslahi ya makundi, basi tumekwisha!

Eti Profesa JOyce NDALICHAKO kwa maana ya Serikali, inasemaa,"...wanawake + watoto wa kike wote walipata mimba wakiwa shuleni,itakuwa ruksa kurudi KUENDELEA na masomo yao....."Dah,kila mtu mtaani anachekaaaaaaaa!

Ahadi moja wapo ya mwanaTanu iliwahi kusema"...nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko...".
 
Kwani wakati wa Magu kuna mtu aliisimamia taaluma yake..

Wengine si mlijiita wa majalalani licha ya taaluma zenu..

Si bora Ndalichako ambaye aliweza kuwa bold once in the history.. When she refused fake grading of CSEE at JKs term.. Div 5... Gpa's..

Unajua kilichomkuta !??

So unataka akumbane tena na dhahma.!?

Nchi ngumu hii wewe.
 
Andiko refu lakini limekaa kishamba sana na kukosa maana, hahahaah eti mwamba, labda kama alikumwambia wew
 
Andiko reeeefuuuu, utopolo mtupu. Acha watoto wetu wapate elimu kama wamemaliza kunyonyesha.

Kwami kuna shida gani?
Shida ni pale anayempa mimba anaenda jela na aliyetuwa mimba anaruhusiwa kurudi darasani. Double standards hizo
 
Ni kama "Mwamba" hayati John Joseph Pombe Magufuli unaweza kusema alikuwa na kajicho kaunabii fulani ndani ya mboni yake hasa pale analiposimama na kusisitiza zaidi ya mara tano katika majukwaa tofauti ya kisiasa na kusema, nanukuu"....watanzania mtanikumbuka na sio kwa mabaya hila kwa mazuri..".

Wakati mwingine unajiuliza maswali mengi kidogo, kuwa Je, John Magufuli "Mwamba" alipata wapi confidence ya kuyatamka maneno haya hata kabla hajafariki dunia?.

Je,Chuma hayati JPM alikuwa anajua kuwa baada ya kifo chake kutakuja tokea kizazi kama cha kina PROFESA Joyce Ndalichako ambaye ni Mwalimu kitaaluma ambaye unaweza kusema ameshindwa acha kuusimamia Uprofesa wake bali kashindwa angalau kusimamia maadili ya Taifa pamoja na maadili ya taaluma yake mwenyewe ya ualimu.Niliwahi kuandika,"Nchi ya Drama Imeshaanza".

Wanasiasa wetu hawa tena wasomi wengine ngazi ya uprofesa badala ya kumshauri vizuri Mama huyu msikivu, yaliyo mema kwa mustakabali wa Mila na desturi za Taifa hili nao wameanza kuwaza jinsi ya kuimarisha uteuzi wao kwa Mh. Mama Samia Hassan kuelekea mwaka wa uchaguzi wa 2025 na kusahau kabisa wajibu wao wa kwa Taifa hili!

Makosa makubwa tunayoyafanya leo kama Taifa, kwa kuamua kuruhusu mambo yasiyo na tija kwa UTAMADUNI wetu kwa kisingizio cha kuutafuta ukombozi wa mwanamke tu, gharama yake inaweza isibebwe na Serikali ya awamu hii ya sita, LAKINI inaweza ikaja kubebwa na Taifa zima!Intervations hizi za kiwanaharakati tunazozifanya leo ndani ya Taifa letu, gharama yake ni nzito mno kuliko gharama ambazo wanazibeba Mama zetu na wanawake wa kitanzania leo dhidi ya mfumo dume huu!

NINI WANAWAKE WA KITANZANIA WANAPASWA KUJUA KUHUSU HIKI WANACHODHANI NI UKOMBOZI KWAO LEO?

1.Ukombozi wowote wa binadamu yoyote duniani, uwe wa ukombozi wa kiuchumi,kiutamaduni,kisiasa na hata kijinsia " it is based on a gradual process change..." na sio "event",kwa maana ya sio tukio!

2.Kama Mama zetu na jamii ya wanawake wa Kitanzania kwa ujumla, wanadhani au watadhani kuwa, ukombozi wao dhidi ya kile wanachoita mfumo dume katika jamii yetu ya Tanzania na Afrika, utapatikana kwa kufanya "matamko" na "matukio" basi wanajidanganya sana!

3.Yale yote yote yanayofanyika sasa, baada ya awamu hii yanaaenda/yatakwenda baadae kuzalisha kitu kipya kwa jina la "gender class struggle", mpya kabisa ya wanaume dhidi ya wanawake kuanzia majumbani mpaka Taifani.Kwa bahati mbaya sana "Gender Class struggle" hii itakayokuja ya wanaume dhidi ya wanawake, itakuja kuwa "more coesive " kwa wanawake zaidi, kuliko hii iliyopo sasa sababu kujikwamua huku kwa mwanamke kutoka katika mfumo dume,wanaume wengi watadhani/wanadhani, kunaendana na matukio ya kupoteza utamaduni,mira na ustaarabu wetu kama Taifa!

4.Ni wazi kuwa huko tuendako mbeleni, idadi ya wanawake katika uchaguzi wa mwaka 2025 ndani ya CCM itakuwa kubwa kuliko kipindi chochote katika historia ya Chama hicho!Hii ina maana gani?Natabiri uwepo wa mipasuko kwa kiasi fulani ndani ya CCM kutokana na upepo huu!Kama CCM haitoliona Hilo sasa,gharama yake kwa afya ya ushindi wa CCM itakuja kuonekana!

Mipasuko hii ya ki "gender powers struggle"haitoishia ndani ya vyama vya siasa tu bali itaenda mbali zaidi mpaka kwenye siasa za vyama kwa vyama hivyo kuweza kuleta mpasuko mkubwa wa kijinsia na Taifa kwa ujumla!

5.Serikali yangu ya CCM inapaswa kuwa makini mno na hii " evental gender transformation" tunayoitekeleza!Hii sio wazo baya LAKINI inaonekana approach yake inaweza kuleta madhara makubwa Kwa Chama changu!

kamwe wanaccm tusidhani kwamba "gender impowerment " ni tukio"event"ambalo linaweza kuwa "achieved" ndani ya miaka kumi!Lazima tujue kuwa" this is a gradual process which goes with natural factors such as time,interactions & social exposure".

Chama changu tawala yaani CCM, kikiendelea na njia hii kwa kuwachia watu"individuals", waamue mustakabali wa Nchi bila kuangalia madhara mapana kwa maslahi ya Taifa dhidi ya maslahi ya makundi, basi tumekwisha!

Eti Profesa JOyce NDALICHAKO kwa maana ya Serikali, inasemaa,"...wanawake + watoto wa kike wote walipata mimba wakiwa shuleni,itakuwa ruksa kurudi KUENDELEA na masomo yao....."Dah,kila mtu mtaani anachekaaaaaaaa!

Ahadi moja wapo ya mwanaTanu iliwahi kusema"...nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko...".
Alafu eti hapo hapo serikali inapambana na kuongezeka kwa kasi kwa watoto wa mtaani!!!
Cha msingi kama mzazi unapaswa kulea mtoto wako wa kike katika mwenendo na maadili mema kidini na kijamii ili aepukane na hizo mimba. Mpe elimu ya jinsia na makuzi mema. Hapo tutapunguza kesi za mimba. Lakini pia tusisahau Kuna watoto wengine wa kike wanaishi katika mazingira magumu. Hawana wazazi au walezi wa uhakika.Wanashawishika kirahisi na kupata mimba! Hao pia ni wahitaji. Tusiwahukumu kama wakosaji waliolaanika...wasiopaswa kupewa nafasi ya kujipangusa...kiasi kikubwa ni makosa ya wazazi au walezi.
 
Inapokukuta binti yako kazaa akiwa std. iv ndipo akili itakukaa sawa na kumkumbuka ndalichako ambaye watoto wake wanasoma ughaibuni.

Twende hivo hivo tukaneni vizuri but a day akili zitawarudia.
 
Tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya...

Mleta mada acha kushupaza shingo.
 
Ni kama "Mwamba" hayati John Joseph Pombe Magufuli unaweza kusema alikuwa na kajicho kaunabii fulani ndani ya mboni yake hasa pale analiposimama na kusisitiza zaidi ya mara tano katika majukwaa tofauti ya kisiasa na kusema, nanukuu"....watanzania mtanikumbuka na sio kwa mabaya hila kwa mazuri..".

Wakati mwingine unajiuliza maswali mengi kidogo, kuwa Je, John Magufuli "Mwamba" alipata wapi confidence ya kuyatamka maneno haya hata kabla hajafariki dunia?.

Je,Chuma hayati JPM alikuwa anajua kuwa baada ya kifo chake kutakuja tokea kizazi kama cha kina PROFESA Joyce Ndalichako ambaye ni Mwalimu kitaaluma ambaye unaweza kusema ameshindwa acha kuusimamia Uprofesa wake bali kashindwa angalau kusimamia maadili ya Taifa pamoja na maadili ya taaluma yake mwenyewe ya ualimu.Niliwahi kuandika,"Nchi ya Drama Imeshaanza".

Wanasiasa wetu hawa tena wasomi wengine ngazi ya uprofesa badala ya kumshauri vizuri Mama huyu msikivu, yaliyo mema kwa mustakabali wa Mila na desturi za Taifa hili nao wameanza kuwaza jinsi ya kuimarisha uteuzi wao kwa Mh. Mama Samia Hassan kuelekea mwaka wa uchaguzi wa 2025 na kusahau kabisa wajibu wao wa kwa Taifa hili!

Makosa makubwa tunayoyafanya leo kama Taifa, kwa kuamua kuruhusu mambo yasiyo na tija kwa UTAMADUNI wetu kwa kisingizio cha kuutafuta ukombozi wa mwanamke tu, gharama yake inaweza isibebwe na Serikali ya awamu hii ya sita, LAKINI inaweza ikaja kubebwa na Taifa zima!Intervations hizi za kiwanaharakati tunazozifanya leo ndani ya Taifa letu, gharama yake ni nzito mno kuliko gharama ambazo wanazibeba Mama zetu na wanawake wa kitanzania leo dhidi ya mfumo dume huu!

NINI WANAWAKE WA KITANZANIA WANAPASWA KUJUA KUHUSU HIKI WANACHODHANI NI UKOMBOZI KWAO LEO?

1.Ukombozi wowote wa binadamu yoyote duniani, uwe wa ukombozi wa kiuchumi,kiutamaduni,kisiasa na hata kijinsia " it is based on a gradual process change..." na sio "event",kwa maana ya sio tukio!

2.Kama Mama zetu na jamii ya wanawake wa Kitanzania kwa ujumla, wanadhani au watadhani kuwa, ukombozi wao dhidi ya kile wanachoita mfumo dume katika jamii yetu ya Tanzania na Afrika, utapatikana kwa kufanya "matamko" na "matukio" basi wanajidanganya sana!

3.Yale yote yote yanayofanyika sasa, baada ya awamu hii yanaaenda/yatakwenda baadae kuzalisha kitu kipya kwa jina la "gender class struggle", mpya kabisa ya wanaume dhidi ya wanawake kuanzia majumbani mpaka Taifani.Kwa bahati mbaya sana "Gender Class struggle" hii itakayokuja ya wanaume dhidi ya wanawake, itakuja kuwa "more coesive " kwa wanawake zaidi, kuliko hii iliyopo sasa sababu kujikwamua huku kwa mwanamke kutoka katika mfumo dume,wanaume wengi watadhani/wanadhani, kunaendana na matukio ya kupoteza utamaduni,mira na ustaarabu wetu kama Taifa!

4.Ni wazi kuwa huko tuendako mbeleni, idadi ya wanawake katika uchaguzi wa mwaka 2025 ndani ya CCM itakuwa kubwa kuliko kipindi chochote katika historia ya Chama hicho!Hii ina maana gani?Natabiri uwepo wa mipasuko kwa kiasi fulani ndani ya CCM kutokana na upepo huu!Kama CCM haitoliona Hilo sasa,gharama yake kwa afya ya ushindi wa CCM itakuja kuonekana!

Mipasuko hii ya ki "gender powers struggle"haitoishia ndani ya vyama vya siasa tu bali itaenda mbali zaidi mpaka kwenye siasa za vyama kwa vyama hivyo kuweza kuleta mpasuko mkubwa wa kijinsia na Taifa kwa ujumla!

5.Serikali yangu ya CCM inapaswa kuwa makini mno na hii " evental gender transformation" tunayoitekeleza!Hii sio wazo baya LAKINI inaonekana approach yake inaweza kuleta madhara makubwa Kwa Chama changu!

kamwe wanaccm tusidhani kwamba "gender impowerment " ni tukio"event"ambalo linaweza kuwa "achieved" ndani ya miaka kumi!Lazima tujue kuwa" this is a gradual process which goes with natural factors such as time,interactions & social exposure".

Chama changu tawala yaani CCM, kikiendelea na njia hii kwa kuwachia watu"individuals", waamue mustakabali wa Nchi bila kuangalia madhara mapana kwa maslahi ya Taifa dhidi ya maslahi ya makundi, basi tumekwisha!

Eti Profesa JOyce NDALICHAKO kwa maana ya Serikali, inasemaa,"...wanawake + watoto wa kike wote walipata mimba wakiwa shuleni,itakuwa ruksa kurudi KUENDELEA na masomo yao....."Dah,kila mtu mtaani anachekaaaaaaaa!

Ahadi moja wapo ya mwanaTanu iliwahi kusema"...nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko...".
Amenikatisha tamaa sana huyu Profesa...badala ya kutafuta jinsi ya kuzuia watoto kubakwa na kujamiiana kabla ya umri husika yeye anabariki zinaa....I wapi haiba ya msichana wa kiafrika ya kuolewa ukiwa umsafi?

Badala aongeze adhabu kwa wabakaji, na kuoboresha miundombinu ya kusomankwa mtoto wa kike yeye anaenda kubariki dhambi na laana ya kinyume na utamaduni wetu!

Mungu ikumbuke nchi yangu ya Tanzania!
 
Yani Wewe mwanamke aliyezaa akisoma inakukera nini au inakupunguzia nini?
Chuki, roho mbaya, wivu na pengine uchawi tu, na ndio ilikuwa sifa kuu za huyo mwamba wako
 
Alafu eti hapo hapo serikali inapambana na kuongezeka kwa kasi kwa watoto wa mtaani!!!
Kupambana na watoto wa mtaani ni kwa kutoa elimu ambayo upatikana shuleni pia.
Kwani elimu ya watu wazima ilianzishwa kwa lengo gani? Tusifanye kupata maarifa shuleni Kama adhabu. Mtu akielimika atajiepusha na Mambo mengi na mwisho wa siku ujinga na maradhi yatapungua na kuipunguzia serikali gharama zisizo na ulazima.
 
JPM alikuwa mwamba sana.............. sema waliotumbuliwa hawawezi kubali
Ndo.maana akamwacha lengai ole sabaya aendeleze ujambazi wake ndani ya jamii ya watu wastaarabu wa Tanzania???? Mdo tafsir ya mwamba.
Ukweli ni kwamba hayupo tena kwenye sura ya dunia na wanaomkumbuka ni WAOVU wenzie
 
Back
Top Bottom