Utani wa Profesa Ndalichako dhidi ya utamaduni wa taifa letu

TUKUBALIANE TU KWAMBA KWASASA TUNATAWALIWA NA SHETANI.
I mean kwamba Mila na dasturi zetu kwasasa zinaelekea kwenye ushetani sio kwamba viongozi wetu ndo mashetani la hasha Bali mifumo wanayoendanayo NI ile anayotaka shetani 💯.

Tunajua kwamba Kuna misaada inatoka kwa wingi Sana lakini Hivyo hivyo na jamii inaangamia like wise. Unaporuhusu watoto chini ya miaka 15 wanamshuhudia mwenzao anabeba mimba na anaingia darasani akiwa na mimba, lakini bado anajua kwamba hio mimba ameipata vp, possibly hata hao waliopo nao wataiga au wataonja au kuonjeshana.

Pili huyo mtoto akishazaa automatically anakuwa konki master, ambapo baadae anakuwa chama la Wana.
 
Back
Top Bottom