roytmeller
Senior Member
- Mar 9, 2015
- 109
- 18
Habari wanajamii,
Kama heading inavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 majuzi hapa nilikuwa na chat na mpenzi wangu WhatsApp ila katka maongezi yetu akaleta utani ambao mimi sikuwa naelewa kama ni utani tu kwasababu hakusema mwishoni kama alikuwa ananitania, basi na mimi nikaanza kumwambia kuwa hunivutii.
Kwanza huna shepu tukisema tukuvue nguo shepu yako ni ya kiazi, basi mi nikalala sasa asubuhi namcheki naona kimyaa ikanibidi nimpigie, alichonijibu ni hatari ndo maana nipo hapa, je nilifanya makosa kumtania vile au alikuwa ananitafutia kisa tuu? Na nifanyeje ili nirudiane nae?
Ushauri wenu please