utani umenicost najuuta!!!

utani umenicost najuuta!!!

Ndugu cha kufanya hapo mueleze mchumba wako hali hiyo halafu jibu atakalokupa lifanyie kazi mkuu.
 
nahisi hata huo msamaha unauomba kiutani!

hata huyo mchumba wako uko nae kiutani!

sijui na ndoa utaifunga kiutani?

hivi hata huu uzi umeuleta kiutani?

haya bwana sorry, niko kiutani!!

utani utani tu!
 
Mkuu gegedua huyo kwa siku mbili tatu hizi kabla hujafunga ndoa ila hakikisha unatumia kinga!
 
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?

Achana nae kidudu mtu huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom