Ur comment bana make me kwikwikwikwisijui nauli utalipiwa na nani tena, si unaona sasa utani unavyokugharimu!!!!
mwanzoni nilijua utani ila dah!...kumtimizia ni ngumu maana sijawah kumcheat mchumba na sitarajii
Wenye kucha hawana ngozi, wenye ngozi hawana upele, wenye upele..:bored:.
Wavulana banaaa
Kuna Manzi mmoja alianzisha thread juzi Kati kuwa HATAMSAMEHE NA ATALIPA KISASI. Kusema ukweli hajataja kosa kabisa but it seems ni wewe na miongoni mwa mambo aliyoyasema ni kukumwagia tindikali. Hio thread IPO hapa jukwaani. Take care
kama ndie naomba anisamehe si unajua 'uvulana'
Mscheew. Dumb fools.
sasa tunafanyaje hapo??? Eee
wew hutaki kumcheat mchumba fine sasa hapo cha kufanya wew mwelekeze vizur huyo bi dada tena vizur haswaaa hadi akuelewe kama atashindwa kukuelewa basi mpotezee mazima kwani nin ishu ni kumdelete ktk list yako ya marafiki kama kulipiwa nauli utapata mwingine ama nin
mwanzoni nilijua utani ila dah!...kumtimizia ni ngumu maana sijawah kumcheat mchumba na sitarajii
kama ndie naomba anisamehe si unajua 'uvulana'
mh unamaanisha nini?Mscheew. Dumb fools.