X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Kama ndio ile hospital waliomfanyia mtu operation ya kichwa badala ya miguu na mwingine miguu badala ya kichwa...namsapoti mdau maradhi yataisha yenyewe..
mkuu X PASTER yaani ukiwaambia tu utasikia maneno yao..
Kama ndio ile hospital waliomfanyia mtu operation ya kichwa badala ya miguu na mwingine miguu badala ya kichwa...namsapoti mdau maradhi yataisha yenyewe..
i think ni kuwa,viongoz wa CDM ambao ndo wenye maamuz yote na chama chao wanajua chama kinaugua ugojwa unaoonekana dhahiri na watu,ila wakiambiwa tiba ni kuondoa huo ugojwa wanakaa kimya pasipo kukubali,yawezekana kuna kitu ambacho hatukijui wao wanakipata kutoka kwao! Creative i like t!...tusaidieni kuitafsiri hii katuni wajuzi!