Utani msibani

Utani msibani

Waarabu pia wana mila zao za Kiarabu ambazo ni za kijinga.

Mila njema ni zile ambazo hazina mipaka ya kabila, rangi wala tabaka. Mila za Kiislam.

Nadhani we FaizaFoxy umepata majibu... Hakuna mtu mweusi alie mwislamu wala mkristo wa asili... Mapokeo ya kikoloni ndo yanayowafanya watu kutojielewa...
I hope kama sio kuzaliwa kwenye uislamu wala usingekuwa na neno kutetea imani za watu.. Pole


Hizo mila za kiislamu zinaingilianaje na ww mweusi? au ndo mambo ya utumwa wa fikra
 
Last edited by a moderator:
Nadhani we FaizaFoxy umepata majibu... Hakuna mtu mweusi alie mwislamu wala mkristo wa asili... Mapokeo ya kikoloni ndo yanayowafanya watu kutojielewa...
I hope kama sio kuzaliwa kwenye uislamu wala usingekuwa na neno kutetea imani za watu.. Pole

Hakuna binaadam yeyote ambae ki asili si Muislaam, wote tunazaliwa Waislaam, unajuwa maana ya Uislam?

Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa Muumba wako. Nani ambae amezaliwa hajajisalimisha kwa Muumba wake? Fikiri.
 
Hv huyu faiza foxy ndo nan ..kila sehemu yupo ananiboa
Ndg. Director J... Elimu hainaga mwisho "kila ukisoma zaidi na maendeleo yako yanazidi" Nijuavyo mie hutu dada ana Elimu ya Dini na elimu ya Dunia
Wee mfuatilie tu utafaidika na mema yake, na mengineyo yapotezee tu!!
kila la heri na Amani FaizaFoxy na kwako tufaidike JF
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mfumo au tamaduni fulani inapotea ujue hauna maana na watu wameamua kukupotezea. Binafsi, sioni umuhimu zaidi ya kudhalishana tu.

Mkuu Bulldog, naona umeamua kuangalia upande mmoja tu wa shillingi. Kuna upande wa pili pia.

Tiba
 
Ina maana msiba usingetokea;hayo maovu yatakemewaje? Je akifa mtu asiye mtani wako utaendelea kukaa na.Mimi nadhani tutafute namna sahihi ya kukemea maovu, na wala sio kukumbatia mambo ya kijinga yaliyopitwa na wakati.Kama ndo hivyo si huyo mhaya angeenda kuzikwa huko ujaluoni,ili kudumisha huo utani wao ambao hauna maana yeyote.Eti mnazingatia mila,zingine zimepitwa na wakati na wala hazina mantiki ndani yake;zaidi ya kuwa kielelezo cha jinsi alivyo mtu anayeendekeza mambo kama hayo.
ndg yangu wewe umesahau kitu kimoja...............utani ni sehem ya miviga ambayo kwa kiswahili hii ni aina ya utan ambao huambatana na mizaha yenye lengo la kupeleka ujumbe mahususi kwa walengwa \

Miviga hii hutumika kwenye misiba na harusi na hii ndio huitwa utani. Mfano wachagga watan zao ni watu wa tanga wasambaa, wazigua, wapare, wadigo nk sasa hawa huwa waangalia zile tabia ambazo wameziona kwenye jamii ya wachagga ambazo kuzieleza kwa namna ya kawaida huwa zinaweza kuleta tashtiti. N a hivyo kuileta miviga kwenye kwenye harusi ama misiba matukia ambayo hukutanisha watu wengi zaid.

nikupe mfano halisi, wachaga wengi husifika kwa kutokujua kupika, lakin wana maringo sna hawapendi kujichanganya kwenye kazi za kijamii, na huwa pia wakishiriki huwakutu hata wanaweza kula kwenye misiba mara nyingi kisa tambo zao.

sasa watan zao husubiri siku ya msiba ivi wanaaza kufikisha ujumbe huo, kwa wale ndg wa wawafiwa, ili wabadilike. mie nimewah kushuhudia mbibi wa kichagga kazuiliwa kuzikwa na watan zake japo wachagga wabish jeuri lkn sasa ilibidi wapoe kama maji ya mtungi manake waliwachambua

leo hapa hakuliwi kitu, .....................hatujakuja kufwata chakula hapa, kama mliona sie tumefwata chakula basi sasa hapaliwi.................si ndo maguruwe sana kwamba tunapenda kula na yie wenzetu ndo paka kazi yenu kulamba maziwa tu..............walichamba wale watan jaman hadi aibu. Ila yote waliyosema ndiyo ambayo ile familia hufanya kwa 100%. Kilichotokea sasa ilibidi watoe faini kuomba msamaha
 
Ukichunguza wanaoponda utani utagundua ni wale wanaoenda msibani kwa kuvizia muda wa kuzika tu basi, hujifanya wako busy na wanaharaka hivyo basi yakianza hata mambo ya utani huona kama wanacheleweshwa! Pia hata yale mahubiri ya kabla ya kuzika huwa hawayapendi hutamani kufika na kufikia then wasambae, kama ni unajua ni utani tatizo nn!
 
Hivi huu utani msibani una mantik? Maana inafikia hatua mtu anazuia mpaka maiti! Jaman ifikie hatua tutumie akili zetu sawasawa.

Maana mtu una uchungu kisha mtu anakutania we ndo umemuua maiti.

Hivi hili jambo asili yake nini? Mwenye hoja makini naomba adadavue.

Nawasilisha

mkuu kuwa na heshima unapozungumza na wakubwa....toka lini "maiti akauwawa..?"
 
Dr Aluta, kama wewe ni dr kwa maana halisi ya phd holder ungeshanielewa ninachokisema...

Moja ya sifa ya binadamu aliyekamilika kimwili, kiakili na kiutashi ni KUJITAMBUA...

Sifa ya pili ni KUJIKUBALI...

Sifa ya tatu ni KUJITHAMINI...

Sifa hizo ndizo humfanya binadamu KUTOJIDHARAU, KUTODHARAU CHAKE na KUJIONA YEYE NA KILA KILICHO CHAKE NI CHA THAMANI KULIKO KINGINE...

Wazungu wamefanikiwa kupandikiza UTAMADUNI wao kwenye FIKRA za WAAFRIKA wengi kiasi kwamba HAWAJITHAMINI WAO BINAFSI NA TAMADUNI ZAO...

Leo, kwa MWAFRIKA kulala chumba kimoja na MBWA haikubaliki, lakini kwa kuwa MZUNGU analala na mbwa chumbani mwafrika anaiga....

Pia, inawezekana wengi wa wanaotoa comments humu ndani ni wavaaji wazuri wa kk au nusu uchi kwa kuiga utamaduni wa kizungu...

Tafakari...

Mkuu hapo umeweka.'bendera ya chuma na mlingoti wa chuma +upepo wa chuma.'
Hawapigi wala hawadundi hapo.!
 
Naona umekushuka na darsa limekuingia umebaki mdomo wazi.
Qur’an 5:51—O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people.

Qur’an 9:30—And the Jews say: Uzair is the son of Allah; and the Christians say: The Messiah is the son of Allah; these are the words of their mouths; they imitate the saying of those who disbelieved before; may Allah destroy them; how they are turned away!

Qur’an 98:6—Those who reject (Truth), among the People of the Book and among the Polytheists, will be in Hell-Fire, to dwell therein. They are the worst of creatures.

Sahih Muslim 4366—Muhammad said: “I will expel the Jews and Christians from the Arabian Peninsula and will not leave any but Muslim.”

Al-Bukhari, Al-Adab al-Mufrad 1103—Muhammad said: “Do not give the People of the Book the greeting first. Force them to the narrowest part of the road.”

Needless to say, these teachings can hardly be considered peaceful or tolerant.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom