Utani msibani

Utani msibani

Waarabu pia wana mila zao za Kiarabu ambazo ni za kijinga.

Mila njema ni zile ambazo hazina mipaka ya kabila, rangi wala tabaka. Mila za Kiislam.

Allah said do not make friendship with Jews and Christians.

What a wicked and diabolical Islamic custom and norms.
 
Wacha kupotosha na ku quote out of context vitu usivyovijuwa. Pata darsa kuhusu hilo:

Misquoted Verse #15
5:51 O ye who believe! take not the Jews and the Christians for your friends: They are but friends to each other. And he amongst you that turns to them is of them. Verily Allah guideth not a people unjust.

The first point to be noted is that, in the verse above, the word Awliya is often incorrectly translated as friends (Awliya is the plural and its singular is wali and the concept is walaah). As a result, many people are under the misconception that this verse commands Muslims to distance themselves from Non-Muslims and to avoid friendship with them. This is far from the truth, as we shall see after examining the meaning of the word Awliya. The Qur'an says:

3:122 ...Allah was their WALI (protector), and in Allah should the faithful (Ever) put their trust.

This verse indicates that a wali is one in whom trust is placed for protection, as the Qur'an always declares God the protector, wali, of the righteous. As Dr. Saeed Ismail Sieny concludes his discussion on Walaah by writing:

As we have discovered above, the root of the word "al-walaah" does not include love, support, etc., and that the core meaning rests on guardianship. (Sieny, The Relationship Between Muslims and Non-Muslims; Toronto, Al-Attique Publishers Inc., 2000, p. 102, emphasis added)

And Dr. Muzammil Siddiqi writes:

In the verse you quoted, the word "Awliya" is used. It is a plural and its singular is "wali". The correct translation of the word ""wali"" is not "friend" but it is someone who is very close and intimate. It is also used to mean "guardian, protector, patron, lord and master". In the Qur'an this word is used for God, such as

“Allah is the Protector (or Lord and Master) of those who believe. He takes them out from the depths of darkness to light…” (Al- Baqarah: 257)

There are many other references in the Qur'an that give this meaning. The same word is also sometimes used in the Qur'an for human beings, such as :

Surah 5:51 Examined - Don’t take the Jews and Christians as Friends?
 
Kwisha habari yako.

Sura 5:51. Thanks.
 
Purely not logical;Mtu ana majonzi kamwe hawezi kuzingatia lolote,zaidi ya kufikiria mtu waliyempoteza;Watu siku hizi wanaenda kwa mwendo wa vyama au vikundi vya kufa na kuzikana.Huo ni utamaduni uliojaa unafiki na uzandiki uliotukuka.Watu wanafikia mpaka wanabeza,ni mambo ambayo ni out dated,ya kipuuzi yanayopaswa kuachwa mara moja.Kama kweli una na machungu ya kweli kweli kwa nini usitoe msaada unaoonekana msibani,Utakuta mtu anatoa buku halafu anatoa UTANI ambao umejaa kejeli na bezo;ambazo wakati mwingine zinaweza hata kuhatarisha amani msibani,Huo ni ujinga uliobobea unapaswa kuachwa

Nyie vijana wa juzi hamjui hata faida za utani, mnatoa povu tu hapa. Utani sio kwenye msiba tu, utani unatumika sehemu nyingi kwa mfano kama mtu ana tabia mbaya katika jamii na watu wanaogopa kumwambia au kumrekebisha na hiyo tabia, wanamtumia mtani wake kumfikishia ujumbe. Mtani wako anaweza kukwambia chochote na ukanywea tu kwa kuwa uruhusiwi kurusha ngumi. Na kati ya vitu ambavyo vimesaidia kuwaweka Watanzania pamoja, ni huu mfumo wa utani. Mtu akiishajua kwamba huyu nikutoka kabila ambalo ni watani, mazungumzo yanaanza pale pale na huo ndio unakuwa mwanzo wa kufahamiana zaidi. Hata kwenye misiba, watani wanapashwa kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa ingawaje kwa mtindo usiokuwa rasmi.

Kizazi cha dot com hakielewi faida za utani ndio maana wachangiaji wengi hapa wanaukandia huu mfumo.

Tiba
 
Waarabu pia wana mila zao za Kiarabu ambazo ni za kijinga.

Mila njema ni zile ambazo hazina mipaka ya kabila, rangi wala tabaka. Mila za Kiislam.
Hizo mila za kiislamu zinaingilianaje na ww mweusi? au ndo mambo ya utumwa wa fikra
 
Nyie vijana wa juzi hamjui hata faida za utani, mnatoa povu tu hapa. Utani sio kwenye msiba tu, utani unatumika sehemu nyingi kwa mfano kama mtu ana tabia mbaya katika jamii na watu wanaogopa kumwambia au kumrekebisha na hiyo tabia, wanamtumia mtani wake kumfikishia ujumbe. Mtani wako anaweza kukwambia chochote na ukanywea tu kwa kuwa uruhusiwi kurusha ngumi. Na kati ya vitu ambavyo vimesaidia kuwaweka Watanzania pamoja, ni huu mfumo wa utani. Mtu akiishajua kwamba huyu nikutoka kabila ambalo ni watani, mazungumzo yanaanza pale pale na huo ndio unakuwa mwanzo wa kufahamiana zaidi. Hata kwenye misiba, watani wanapashwa kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa ingawaje kwa mtindo usiokuwa rasmi.

Kizazi cha dot com hakielewi faida za utani ndio maana wachangiaji wengi hapa wanaukandia huu mfumo.

Tiba
Well said mkuu naona watu wanataka wazike tamaduni zao zote na kufata za wageni hatukatai baadhi sio nzuri but hili la utani libki tu mana ni helpfull sana kurekebisha mambo
 
Waarabu pia wana mila zao za Kiarabu ambazo ni za kijinga.

Mila njema ni zile ambazo hazina mipaka ya kabila, rangi wala tabaka. Mila za Kiislam.

Lione .. .!!
 
Well said mkuu naona watu wanataka wazike tamaduni zao zote na kufata za wageni hatukatai baadhi sio nzuri but hili la utani libki tu mana ni helpfull sana kurekebisha mambo

mkuu hiv utan wa kuzuia maiti unauzungumziaje?
 
Nyie vijana wa juzi hamjui hata faida za utani, mnatoa povu tu hapa. Utani sio kwenye msiba tu, utani unatumika sehemu nyingi kwa mfano kama mtu ana tabia mbaya katika jamii na watu wanaogopa kumwambia au kumrekebisha na hiyo tabia, wanamtumia mtani wake kumfikishia ujumbe. Mtani wako anaweza kukwambia chochote na ukanywea tu kwa kuwa uruhusiwi kurusha ngumi. Na kati ya vitu ambavyo vimesaidia kuwaweka Watanzania pamoja, ni huu mfumo wa utani. Mtu akiishajua kwamba huyu nikutoka kabila ambalo ni watani, mazungumzo yanaanza pale pale na huo ndio unakuwa mwanzo wa kufahamiana zaidi. Hata kwenye misiba, watani wanapashwa kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa ingawaje kwa mtindo usiokuwa rasmi.

Kizazi cha dot com hakielewi faida za utani ndio maana wachangiaji wengi hapa wanaukandia huu mfumo.

Tiba

Nakubaliana na maneno yako.
 
Umeongea vyema Tiba, hawa vijana waliozaliwa mjini hawajui maana ya utani badala yake eti ni ushenzi wao wanataka ustaarabu. Kweli hiki ni kizazi cha Wazungu weusi waliostaarabika.
 
Baada ya kusoma hii post na comments zilizo nyingi, nimegundua ni kwanini tumekuwa rahisi kutawaliwa katika kila idara na wazungu...

Lakini pia nimegundua watz hasa vijana wa siku hizi hawajapata elimu ya kutosha juu ya kujitambua na kujithamini...

Tafakari...
 
mkuu umeniacha njia panda, cjakuelewa unasapot upande up?
 
Bora umesema.
 
mkuu umeniacha njia panda, cjakuelewa unasapot upande up?

Dr Aluta, kama wewe ni dr kwa maana halisi ya phd holder ungeshanielewa ninachokisema...

Moja ya sifa ya binadamu aliyekamilika kimwili, kiakili na kiutashi ni KUJITAMBUA...

Sifa ya pili ni KUJIKUBALI...

Sifa ya tatu ni KUJITHAMINI...

Sifa hizo ndizo humfanya binadamu KUTOJIDHARAU, KUTODHARAU CHAKE na KUJIONA YEYE NA KILA KILICHO CHAKE NI CHA THAMANI KULIKO KINGINE...

Wazungu wamefanikiwa kupandikiza UTAMADUNI wao kwenye FIKRA za WAAFRIKA wengi kiasi kwamba HAWAJITHAMINI WAO BINAFSI NA TAMADUNI ZAO...

Leo, kwa MWAFRIKA kulala chumba kimoja na MBWA haikubaliki, lakini kwa kuwa MZUNGU analala na mbwa chumbani mwafrika anaiga....

Pia, inawezekana wengi wa wanaotoa comments humu ndani ni wavaaji wazuri wa kk au nusu uchi kwa kuiga utamaduni wa kizungu...

nimekuelewa mkuu
 
Nyie vijana wa juzi hamjui hata faida za utani, mnatoa povu tu hapa. Utani sio kwenye msiba tu, utani unatumika sehemu nyingi kwa mfano kama mtu ana tabia mbaya katika jamii na watu wanaogopa kumwambia au kumrekebisha na hiyo tabia, wanamtumia mtani wake kumfikishia ujumbe. Mtani wako anaweza kukwambia chochote na ukanywea tu kwa kuwa uruhusiwi kurusha ngumi. Na kati ya vitu ambavyo vimesaidia kuwaweka Watanzania pamoja, ni huu mfumo wa utani. Mtu akiishajua kwamba huyu nikutoka kabila ambalo ni watani, mazungumzo yanaanza pale pale na huo ndio unakuwa mwanzo wa kufahamiana zaidi. Hata kwenye misiba, watani wanapashwa kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa ingawaje kwa mtindo usiokuwa rasmi.

Kizazi cha dot com hakielewi faida za utani ndio maana wachangiaji wengi hapa wanaukandia huu mfumo.

Tiba

Ukiona mfumo au tamaduni fulani inapotea ujue hauna maana na watu wameamua kukupotezea. Binafsi, sioni umuhimu zaidi ya kudhalishana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom