Hakuna binaadam yeyote ambae ki asili si Muislaam, wote tunazaliwa Waislaam, unajuwa maana ya Uislam?
Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa Muumba wako. Nani ambae amezaliwa hajajisalimisha kwa Muumba wake? Fikiri.
Allah said do not make friendship with Jews and Christians.
What a wicked and diabolical Islamic custom and norms.
Yani hata mimi huwa siupendi kabisa,ila siku ntapiga mtu aiseee!!!!!
Hakuna Allah kwemye Biblia, jipange tena kijana.Hiyo ni matayo ngapi mkuu
Utani si mbaya ila kuwe na mipaka mtu kafiwa na mzazi wake mtani anamwambie mfiwa ndiye kaua utani gani huo mdogo wangu aliwashikia panga mbona walikimbia wote na kususa baadae wakarudi wenyewe hawakutania tena, jirani kulikuwa na msiba watani wakachukua unga wakachanganya na pilipili wakawapaka wafiwa usoni ati huo nao utani, utani wa hivyo si ukaribishi. Kuna utani wenye staha huo naukubali