Dr Aluta
Senior Member
- Apr 16, 2015
- 121
- 39
Hivi huu utani msibani una mantik? Maana inafikia hatua mtu anazuia mpaka maiti! Jaman ifikie hatua tutumie akili zetu sawasawa.
Maana mtu una uchungu kisha mtu anakutania we ndo umemuua maiti.
Hivi hili jambo asili yake nini? Mwenye hoja makini naomba adadavue.
Nawasilisha
Maana mtu una uchungu kisha mtu anakutania we ndo umemuua maiti.
Hivi hili jambo asili yake nini? Mwenye hoja makini naomba adadavue.
Nawasilisha