Utani - King of Msata Atakapozeeka...

Utani - King of Msata Atakapozeeka...

Shimba ya Buyenze

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
183,580
Reaction score
1,105,912
King of Msata Atakapozeeka.jpg

Itakuwa hata akikutazama tu basi unaondoka..​
 
Yes Nifah. Ni Mshana Jr. Nashangaa hajapita huku. Huwa namwita King of Msata kwa sababu kwenye post yake moja alisema Msata ndipo yalipo makao makuu ya kichawi ya kanda ya pwani na yeye ana cheo huko nadhani ni Executive director kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes Nifah. Ni Mshana Jr. Nashangaa hajapita huku. Huwa namwita King of Msata kwa sababu kwenye post yake moja alisema Msata ndipo yalipo makao makuu ya kichawi ya kanda ya pwani na yeye ana cheo huko kama siyo Executive director kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mjanja sana.
Makorokoro hayo kweli unamaanisha mshana jr
Ila sura?Mhhhhhh [emoji12] [emoji126] [emoji126]
 
Back
Top Bottom