Utani connection

*Wanafunzi walipanda kwenye ndege ,muda mfupi kabla ya kuruka wakatangaziwa kuwa ndege hii ni ya kwanza kutengenezwa na mainjinia wa Tanzania na hii ndio safari yake ya kwanza, wanafunzi wote wakashuka akabaki mmoja tu , alipoulizwa kwanini hakushuka " Akajibu kama imeundwa na wa Tanzania wala sina wasi wasi hata kuwaka haitawaka hii*
Sependagi ujinga eti
 
Leo nilienda kuazima chaji kwa jirani ..sikumkuta ..nilimkuta mwanae
Nikamtumia meseji ili atoe ruhusa nichukue
Akanijibu *21002*
Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya.
Akaniambia nimesema TUMIA TU

mtatuua na lugha zenu
 
Mtoto wa kike alimwambia mama yake: Mama wahuni wa pale wana roho mbaya, nimewaambia waniangulie maembe wakaniambia nipande mwenyewe. Mama akajibu: wale walikua wanataka kukuchungulia tu chupi yako. Mtoto akajibu: aah unafikiri sina akili ! Nimeivua chupi kwanza kisha ndo nikapanda!
 
*Pale unapokuwa umefulia sana...Mgeni anakutembelea Maskani kwako....Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni......Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite .....Bwana....Bwana. ...Bwana....Weee*

Apo ndo utagundundua morinyo anajiskiaje
Kumnunua *POGBA*
 
SIPENDI TABIA HII MIMI

Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama inavyonikera mimi, NITUMIE NAMBA YAKO YA SIM INBOX tujadiliane tuone ni kwa namna gani tunaweza kulikabili hili tatizo!!!

Hahaha
 
Nimeagizwa nikampokee mgeni stendi,nimempokea nashangaa yeye ndo anakaza mwendo njiani!

*Nimemuacha katangulia kama hatua tano nimekata kona kichochoro kingine!*

*sasa hivi nipo kwa rafiki yangu nasikia anatangazwa msikitini Amepotea*

Sipendag ujinga mimi!
 
*Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote!*

*Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you know Biology, Psychology and Anthropology?" Kijana akajibu "NO," Mtalii akamwambia "nothing you know under the sun? You are useless, and u'll die with your illiteracy!" baada ya muda boti ikaanza kuzama, kijana akamwambia mtalii "Do you know kuogelealogy and kusepalogy from mambalogy? Mtalii akajibu huku ametoa macho "No" kijana akamwambia "You will kufalogy and mambalogy wil eat your matakology because of your bad-mdomology..*
 
Leo nimeenda kununua energy drink nikamwambia muuzaji naomba energy drink nayeye akaniuliza energy kama energy mimi kwa hasira nikamjibu energy kama nguvu huwa sipendi ujinga nikiwa na hasira my love
 
*MWALIMU:* Alex, simba akianza kukufukuza utafanya nini?

*ALEX:* nitapanda mti.

*MWALIMU:* je na simba nae akipanda mti?

*ALEX:* nitakimbilia mtoni niogelee.

*MWALIMU:* Je simba nae akikufuata mtoni?

*ALEX:* mwalimu uko upande wangu au wa simba? Maana sikuelewi kabisa,kila ninavyo jaribu kumkwepa simba kila kona wewe wamuelekeza niliko, Kama hunipendi useme tu.
 
*Mzungu alisafiri na Mbongokwenye ndege*

*wakakaa siti moja*

*Mzunguakamdharau�� sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*

*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*

*Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*

*Mbongo akatoa Jero/ 500 kuashiria hajui.*

*Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*��

*Mzungu akafikiria akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*

*akauliza ni nini hicho?*

*Mbongo akatoa Jero/ 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
 
HAPA LAZIMA UKIMBIE
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "Mathematic ndio wewe, upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao,
akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumzia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo.
*NIKAMSTOPISHA* nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka michache iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
Mimi na huyo mjane tukaamua kuoana.
Baadaye baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo kidogo akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijamalizia jamaa akaondoka zake tu
Mimi sio mtu wa mchezo.
*Sipendagi Ujinga*
tsha saana
 
Hatari sana...
 
Kweli wewe ni bonge la "Mathematician"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom