MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 884
- 848
- Thread starter
- #21
Asante kwa kutambua umbumbumbu wangu, sasa njoo na hoja unielimishe nami nielewe. Halafu, swala siyo ubeberu swala ni ubeberu dhidi yetu waafrika, lazima tuukatae. Jitahidi uje na hoja zenye mashiko siyo attacking personalities za.watu.mleta mada ni mbumbumbu.
huyo unaemsifia analeta maendeleo kila alichovaa na silaha zinazomlindq na gari anazotumia na ndege anazonunua kinyume na taratibu za manunuzi hadi kifaa alichotia kidole kusajili laini ya simu hadi simu anahotumia hadi kile kimota alipanda siku anazurura kwenye rubondo vyote ame-import kutoka kwa mabeberu.