Utandawazi (Globalization): Adui hatari wa Afrika asiyesemwa kwa undani madhara yake

Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika.

Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba kuanzia karne ya 14 hadi 16 huko Ulaya tayari vijitaifa (nation states) vilikuwa vimeanza kupata nguvu za kidola na kiuchumi.

Hivyo kwasababu ya ubabe, matumizi ya nguvu kujitanua kidola kuliibuka vita kubwa sana iliyopiganwa kwa takribani miaka 30 huku vita hiyo.kwa upande mwingine ikibebwa na imani ya katoliki dhidi ya waasi wake walioongozwa na Martin Luther.

Mwaka 1648 Uliitishwa mkutano wa amani uitwao Westphalia ambapo vijistate hivyo vilikubaliana mambo kadhaa ikiwemo kusitisha vita na kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwingine na kamwe kutoingilia uhuru wa.maswala ya ndani ya nchi mwingine (sovereignty).

Baada ya hapo uchumi wao ulikua sana na kuka wa na hitaji la masoko na wafanyakazi wenye gharama nafuu wa viwandani na mashambani.

Mwaka 1884/1885 waliitana wakubwa hao chini ya Chancellor wa Ujerman Bismack wakatugawana sisi waafrika kwaajili ya kututawala na kupata malighafi za viwanda vyao na nguvu kazi isiyo na gharama.

Hapo ndipo dhana ya utandawazi (globalization ) ilipoanza. Waafrika tulinyonywa sana hadi damu wakati huo. Babu zetu walichukuliwa kwwnda kutumikishwa Ulaya na Amerika.

Kwa mchango wa nguvu kazi za babu zetu na wizi wa malighafi na rasilimali zetu waliweza kuendeleza nchi zao kwa kujenga mifumo imara ya mitaji na faida kwaajili ya maendelwo zaidi.

Ukoloni ulipokwisha miaka ya 1960 wakubwa hao walikaa tena miaka ya 1980 wakasema lazima tuurudishe ukoloni Afrika tena kutokana na kunogewa na wizi na uporaji.

Walikuja na mpango wa marekebisho ya kimfumo (Structural Adjustment Program- SAP) ukiwa ni.mpango uliolenga kuuzima mpango kababmbe wa waafrika kudai marekebisho mapya ya mfumo wa uchumi duniani (New International Economic Order) ambao uliitaka jumuiya ya kimataifa kurekebisha mifumo nyonyaji ya kibiashara kupitia WTO, IMF na WB ili waafrika nao wawe na mazingira sawa ya ushindani wa kibiashara na kiuchumi.

Hivyo SAP ililazimisha waafrika kuhurisha mifumo yao yankiuchumi (liberalozation of economy) kwa kuruhusu masoko huria (free markets) na mfumo wa siasa za vyama vingi.

Wakubwa hao walijua fika kuwa waafrika hatuna uwezo wa kufanya investments kubwa hivyo kwa uhuria huo wa.masoko ungewapa nafasi wao kutawala biashara na shughuli zingine za kiuchumi Afrika.

Aidha kupitia mifumo ya vyama vingi vya siasa walijua kuwa tutagawanyika na hivyo watatutawala kirahisi kupia vyombo vyake vyankinyonyaji vya IMF, WTO na WB. Baada ya kufanikiwa katika maeneo hayo tunashuhudia Afrika ikiwa na migogoro mingi ya kisiasa huku wao wakiendelea kuchota rasilimali zetu kilaini kabisa.

Viwanda vingi vilivyoanzishwa wakati wa mwanzo baada ya uhuru katika nchi.nyingi za Afrika vimekufa si kwasababu nyingine bali kwa mikono ya wakubwa hao kutotaka tupate mifumo imara ya kiuchumi ya kututoa huku tuliko.

Ndugu zangu utandawazi kwa maana halisi si kama watu mnavyoutafsiri kirahisirahisi, huo ni ukoloni kabisa unaotumia nyenzo na vyombo vya kimataifa kuinyonya Afrika.

Madeni makubwa ya nchi za Afrika ambayo yanadaiwa na WB yanatengenezwa kimkakati (si rahisi nikaeleweka hapa) ili nchi za Afrika ziendelee kuwa tegemezi.

Hivyo kwa picha hiyo, ni vema tuelewe malengo ya wazungu kwetu sisi waafrika kuwa siyo.mazuri. Na ni vema mkajua kuwa.wakubwa hao hawapendi.kusikia nchi masikini zinajitambua na kuanza kupambana kujikomboa.

Tanzania ilipo sasa imejitambua na hongera sana Rais Dr. John Pombe Magufuli kwa kuutambua ulaghai wa wakubwa hao na hivyo kuamua kwa dhati kuikomboa Tanzania.

Kelele unazopigiwa kuhusu madai ya udikteta na kujaribu kukuharibia taswira ili uchukiwe na wananchi wako ili mwishowe wao wajihalalishie kukutoa madarakani.

Ninakuomba, simama imara kwani Watanzania wenye akili kama mimi tuko wengi na tunakuunga mkono. Unapoipeleka Tanzania kila mwenye akili timamu anaona.

Kasi ya maendeleo si ya kuridhisha kama tulivyozoea kuimbiwa bali wakati huu kasi ni kubwa kiasi inawatisha wakubwa hao. Pigana Jemedari tuko nyuma yako.

Watanzania wote niwaombe tumuunge mkono Rais wetu na tusikubali kwa namna yoyote adhalilishwe na manyang'au na.majizi. Tumuombee aongoze ukombozi wa kweli.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Siku si nyingi Afrika itahesabiwa haki na hao wanaotutawala na kutunyonya na kututesa. Mungu amewaandalia mahali pao stahiki.
hujui unaloomba kwa watanzania sisi tuna njaa maombi yako hayo haywezi kupeleka tonge mdomoni lisemwalo lipo hao ni wahenga muda ndo mwalimu hapao 2025 kama hataongeza muda
 
Here we are not talking of political parties buddy, tunazungumzia adui mkubwa globalization ambaye kwa bahati.mbaya hajasemwa na kujadiliwa kisawasawa. Iwe CCM au chama chochote, kikubwa ni kujua tunapambana na nani na siyo Magufuli
kwa hapa kwetu ni magufuli ndo tunamuogopa sana mana anatisha zaidi ukimwi
 
hahaha lazima waitwe mabeberu kwa sababu vitendo hivyo vyote kwao vipo lakini mbona hatuwahoji...au kwa sababu sisi ni wachanga haturuhusiwi kuwahoji...jomba..Trump juzi kaua kamanda wa iran, mbona mmekaa kimya hamuhoji..huo sio uvunjaji wa haki za binadamu au ni aina mpya ya demokrasia jomba..embu jibu haya ili tuendelee na mazungumzo...Trump alituambia waafrila ni shitholes, tumekaa kimyaaaa hatuhoji...why...ni upumbavvv....hivi.wewe unaonaje haya
Mkajipange tena na proganda uchwara,
Nikiwepo Mimi na Tindo hamkatizi hapa
 
Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika.

Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba kuanzia karne ya 14 hadi 16 huko Ulaya tayari vijitaifa (nation states) vilikuwa vimeanza kupata nguvu za kidola na kiuchumi.

Hivyo kwasababu ya ubabe, matumizi ya nguvu kujitanua kidola kuliibuka vita kubwa sana iliyopiganwa kwa takribani miaka 30 huku vita hiyo.kwa upande mwingine ikibebwa na imani ya katoliki dhidi ya waasi wake walioongozwa na Martin Luther.

Mwaka 1648 Uliitishwa mkutano wa amani uitwao Westphalia ambapo vijistate hivyo vilikubaliana mambo kadhaa ikiwemo kusitisha vita na kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwingine na kamwe kutoingilia uhuru wa.maswala ya ndani ya nchi mwingine (sovereignty).

Baada ya hapo uchumi wao ulikua sana na kuka wa na hitaji la masoko na wafanyakazi wenye gharama nafuu wa viwandani na mashambani.

Mwaka 1884/1885 waliitana wakubwa hao chini ya Chancellor wa Ujerman Bismack wakatugawana sisi waafrika kwaajili ya kututawala na kupata malighafi za viwanda vyao na nguvu kazi isiyo na gharama.

Hapo ndipo dhana ya utandawazi (globalization ) ilipoanza. Waafrika tulinyonywa sana hadi damu wakati huo. Babu zetu walichukuliwa kwwnda kutumikishwa Ulaya na Amerika.

Kwa mchango wa nguvu kazi za babu zetu na wizi wa malighafi na rasilimali zetu waliweza kuendeleza nchi zao kwa kujenga mifumo imara ya mitaji na faida kwaajili ya maendelwo zaidi.

Ukoloni ulipokwisha miaka ya 1960 wakubwa hao walikaa tena miaka ya 1980 wakasema lazima tuurudishe ukoloni Afrika tena kutokana na kunogewa na wizi na uporaji.

Walikuja na mpango wa marekebisho ya kimfumo (Structural Adjustment Program- SAP) ukiwa ni.mpango uliolenga kuuzima mpango kababmbe wa waafrika kudai marekebisho mapya ya mfumo wa uchumi duniani (New International Economic Order) ambao uliitaka jumuiya ya kimataifa kurekebisha mifumo nyonyaji ya kibiashara kupitia WTO, IMF na WB ili waafrika nao wawe na mazingira sawa ya ushindani wa kibiashara na kiuchumi.

Hivyo SAP ililazimisha waafrika kuhurisha mifumo yao yankiuchumi (liberalozation of economy) kwa kuruhusu masoko huria (free markets) na mfumo wa siasa za vyama vingi.

Wakubwa hao walijua fika kuwa waafrika hatuna uwezo wa kufanya investments kubwa hivyo kwa uhuria huo wa.masoko ungewapa nafasi wao kutawala biashara na shughuli zingine za kiuchumi Afrika.

Aidha kupitia mifumo ya vyama vingi vya siasa walijua kuwa tutagawanyika na hivyo watatutawala kirahisi kupia vyombo vyake vyankinyonyaji vya IMF, WTO na WB. Baada ya kufanikiwa katika maeneo hayo tunashuhudia Afrika ikiwa na migogoro mingi ya kisiasa huku wao wakiendelea kuchota rasilimali zetu kilaini kabisa.

Viwanda vingi vilivyoanzishwa wakati wa mwanzo baada ya uhuru katika nchi.nyingi za Afrika vimekufa si kwasababu nyingine bali kwa mikono ya wakubwa hao kutotaka tupate mifumo imara ya kiuchumi ya kututoa huku tuliko.

Ndugu zangu utandawazi kwa maana halisi si kama watu mnavyoutafsiri kirahisirahisi, huo ni ukoloni kabisa unaotumia nyenzo na vyombo vya kimataifa kuinyonya Afrika.

Madeni makubwa ya nchi za Afrika ambayo yanadaiwa na WB yanatengenezwa kimkakati (si rahisi nikaeleweka hapa) ili nchi za Afrika ziendelee kuwa tegemezi.

Hivyo kwa picha hiyo, ni vema tuelewe malengo ya wazungu kwetu sisi waafrika kuwa siyo.mazuri. Na ni vema mkajua kuwa.wakubwa hao hawapendi.kusikia nchi masikini zinajitambua na kuanza kupambana kujikomboa.

Tanzania ilipo sasa imejitambua na hongera sana Rais Dr. John Pombe Magufuli kwa kuutambua ulaghai wa wakubwa hao na hivyo kuamua kwa dhati kuikomboa Tanzania.

Kelele unazopigiwa kuhusu madai ya udikteta na kujaribu kukuharibia taswira ili uchukiwe na wananchi wako ili mwishowe wao wajihalalishie kukutoa madarakani.

Ninakuomba, simama imara kwani Watanzania wenye akili kama mimi tuko wengi na tunakuunga mkono. Unapoipeleka Tanzania kila mwenye akili timamu anaona.

Kasi ya maendeleo si ya kuridhisha kama tulivyozoea kuimbiwa bali wakati huu kasi ni kubwa kiasi inawatisha wakubwa hao. Pigana Jemedari tuko nyuma yako.

Watanzania wote niwaombe tumuunge mkono Rais wetu na tusikubali kwa namna yoyote adhalilishwe na manyang'au na.majizi. Tumuombee aongoze ukombozi wa kweli.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Siku si nyingi Afrika itahesabiwa haki na hao wanaotutawala na kutunyonya na kututesa. Mungu amewaandalia mahali pao stahiki.
Safi sana Mzalendo, sijuwi wadau watapita humu au mpaka umponde magufuli na ccm sana au uweke picha za wanawake wakiwa uchi?!
 
Sasa kama Globalization (Utandawazi) Unaona ni Jambo baya ( Halifai Africa).

Unataka Tuishi kama akina Shaka Zulu.
 
Hapa umeleta siasa Ila si kweli, utandawazi ndo muarubaini wa uonevu' inahitajika akili tu kuishi kwenye dunia inayoenda kasi namna hii.

unafahamu kuwa leo hii mtanzania anaruhusiwa kuwekeza nchi za wazungu? Kuajiri wazungu? Tunapoelekea miaka mingi ijayo tutachanganyikana sana mpaka itashindwa kueleweka maana ya neno mchaga ni nn.

Yaani miaka mingi ijayo kwenye kupiga kura utakutana na wahindi, wazungu, wachina wote wamepanga mstari wanajiandaa kuipigia kura ccm au upinzani kama watakuwa na akili.
 
Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika.

Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba kuanzia karne ya 14 hadi 16 huko Ulaya tayari vijitaifa (nation states) vilikuwa vimeanza kupata nguvu za kidola na kiuchumi.

Hivyo kwasababu ya ubabe, matumizi ya nguvu kujitanua kidola kuliibuka vita kubwa sana iliyopiganwa kwa takribani miaka 30 huku vita hiyo.kwa upande mwingine ikibebwa na imani ya katoliki dhidi ya waasi wake walioongozwa na Martin Luther.

Mwaka 1648 Uliitishwa mkutano wa amani uitwao Westphalia ambapo vijistate hivyo vilikubaliana mambo kadhaa ikiwemo kusitisha vita na kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwingine na kamwe kutoingilia uhuru wa.maswala ya ndani ya nchi mwingine (sovereignty).

Baada ya hapo uchumi wao ulikua sana na kuka wa na hitaji la masoko na wafanyakazi wenye gharama nafuu wa viwandani na mashambani.

Mwaka 1884/1885 waliitana wakubwa hao chini ya Chancellor wa Ujerman Bismack wakatugawana sisi waafrika kwaajili ya kututawala na kupata malighafi za viwanda vyao na nguvu kazi isiyo na gharama.

Hapo ndipo dhana ya utandawazi (globalization ) ilipoanza. Waafrika tulinyonywa sana hadi damu wakati huo. Babu zetu walichukuliwa kwwnda kutumikishwa Ulaya na Amerika.

Kwa mchango wa nguvu kazi za babu zetu na wizi wa malighafi na rasilimali zetu waliweza kuendeleza nchi zao kwa kujenga mifumo imara ya mitaji na faida kwaajili ya maendelwo zaidi.

Ukoloni ulipokwisha miaka ya 1960 wakubwa hao walikaa tena miaka ya 1980 wakasema lazima tuurudishe ukoloni Afrika tena kutokana na kunogewa na wizi na uporaji.

Walikuja na mpango wa marekebisho ya kimfumo (Structural Adjustment Program- SAP) ukiwa ni.mpango uliolenga kuuzima mpango kababmbe wa waafrika kudai marekebisho mapya ya mfumo wa uchumi duniani (New International Economic Order) ambao uliitaka jumuiya ya kimataifa kurekebisha mifumo nyonyaji ya kibiashara kupitia WTO, IMF na WB ili waafrika nao wawe na mazingira sawa ya ushindani wa kibiashara na kiuchumi.

Hivyo SAP ililazimisha waafrika kuhurisha mifumo yao yankiuchumi (liberalozation of economy) kwa kuruhusu masoko huria (free markets) na mfumo wa siasa za vyama vingi.

Wakubwa hao walijua fika kuwa waafrika hatuna uwezo wa kufanya investments kubwa hivyo kwa uhuria huo wa.masoko ungewapa nafasi wao kutawala biashara na shughuli zingine za kiuchumi Afrika.

Aidha kupitia mifumo ya vyama vingi vya siasa walijua kuwa tutagawanyika na hivyo watatutawala kirahisi kupia vyombo vyake vyankinyonyaji vya IMF, WTO na WB. Baada ya kufanikiwa katika maeneo hayo tunashuhudia Afrika ikiwa na migogoro mingi ya kisiasa huku wao wakiendelea kuchota rasilimali zetu kilaini kabisa.

Viwanda vingi vilivyoanzishwa wakati wa mwanzo baada ya uhuru katika nchi.nyingi za Afrika vimekufa si kwasababu nyingine bali kwa mikono ya wakubwa hao kutotaka tupate mifumo imara ya kiuchumi ya kututoa huku tuliko.

Ndugu zangu utandawazi kwa maana halisi si kama watu mnavyoutafsiri kirahisirahisi, huo ni ukoloni kabisa unaotumia nyenzo na vyombo vya kimataifa kuinyonya Afrika.

Madeni makubwa ya nchi za Afrika ambayo yanadaiwa na WB yanatengenezwa kimkakati (si rahisi nikaeleweka hapa) ili nchi za Afrika ziendelee kuwa tegemezi.

Hivyo kwa picha hiyo, ni vema tuelewe malengo ya wazungu kwetu sisi waafrika kuwa siyo.mazuri. Na ni vema mkajua kuwa.wakubwa hao hawapendi.kusikia nchi masikini zinajitambua na kuanza kupambana kujikomboa.

Tanzania ilipo sasa imejitambua na hongera sana Rais Dr. John Pombe Magufuli kwa kuutambua ulaghai wa wakubwa hao na hivyo kuamua kwa dhati kuikomboa Tanzania.

Kelele unazopigiwa kuhusu madai ya udikteta na kujaribu kukuharibia taswira ili uchukiwe na wananchi wako ili mwishowe wao wajihalalishie kukutoa madarakani.

Ninakuomba, simama imara kwani Watanzania wenye akili kama mimi tuko wengi na tunakuunga mkono. Unapoipeleka Tanzania kila mwenye akili timamu anaona.

Kasi ya maendeleo si ya kuridhisha kama tulivyozoea kuimbiwa bali wakati huu kasi ni kubwa kiasi inawatisha wakubwa hao. Pigana Jemedari tuko nyuma yako.

Watanzania wote niwaombe tumuunge mkono Rais wetu na tusikubali kwa namna yoyote adhalilishwe na manyang'au na.majizi. Tumuombee aongoze ukombozi wa kweli.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Siku si nyingi Afrika itahesabiwa haki na hao wanaotutawala na kutunyonya na kututesa. Mungu amewaandalia mahali pao stahiki.
Globalizarion ilihusisha Afrika pekee yake? Mbona Asia na Latin America wamepaa kupitia globalizarion?

Katika Dunia hii ukoloni ulikuwa Afrika pekee yake? Mbona Brazil, pamoja na kutawaliwa, leo ni nchi ya 7 kwa ukubwa wa uchumi Duniani?

Kwa nini nchi za Afrika zilizokaliwa na wakoloni kwa miaka mingi zaidi zina maendeleo mazuri zaidi kuliko zilizopata uhuru mapema au nchi kama Ethiopia ambayo haikutawaliwa kabisa?

Tatizo kubwa la Afrika ni uongozi usio na maono, uongozi wa kidikteta, upendeleo (wa vyama, ukabila, maeneo). Kama tutaendelea na hizi siasa za kutekana, kukomoana, kukomeshana, maamuzi ya watu wachache, vyama vya siasa kuonekana ni muhimu kuliko Taifa, kamwe Afrika haitafika popote.

Nchi kama Botswana, kwa kulinda uhuru wa raia wao na misingi ya demokrasia, wameweza kuijenga vizuri sana nchi yao, na kama hawatavutwa na siasa za kidikteta ambazo zipo katila mataifa mengi ya Afrika, wataendelea kusonga mbele kwa kasi.

Bila kuwa na utawala shirikishi, Taifa haliwezi kufika popote. China kwa miaka mingi wameendekeza siasa za kibabe. Matokeo yake, China mpaka leo ni maskini. Wanachojivunia ni uwingi wa watu unaowatengenezea GDP kubwa lakini kwa maendeleo ua watu, wanazidiwa na mataifa kama Botswana. Leo nchini China, makampuni yanayotamba kwa ukubwa na faida kubwa, ni ya Ulaya na Amerika.

Waafrika acheni visingizio. Tatizo la maendeleo duni ya Afrika, lipo kwa watawala wao ambao wengi wao ni wabovu sana na wasiojua chochote kuhisi uchumi wa kisasa. Watawala wa Afrika wanafurahia ukubwa badala ya utumishi, wanajivunia ubabe badala ya werevu.
 
Umeandika sana kuwalaumu wao ila hujatazama na matatizo yetu sisi Afrika. Tunawezaje kuzilaumu IMF na WB wakati hata matumizi ya kodi zetu hatuzitumii vizuri. Ufisadi na Rushwa na Ubinafsi wetu sisi kwa sisi ndio chanzo cha afrika kudumaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalaumu globalization kwa your incompetence to compete and guard your own country?

Yaani unalaumu mashindano kwa uzembe wako wa kisenge wa kutokushindana?

Your weakness is yours,dont blame the game,blame yourself for your own weaknesses and incompetencies!

Bure kabisa!
I guess wewe siyo mtanzania na siyo mwafrika kwa ujumla wake. Kama ndiyo basi wewe ni mchumia tumbo ambaye uko tayari hata kutoa tiGO watu wabonge ilimradi uendelee kupeleka mkono kinywani, bure kabisa mara 100000000000000000
 
Sisi hatuna platform ya kuwahoji US ila tunahoji hapa nchini kwetu huu uhayawani mnaofanya. Nyinyi mtawahoji US kwa usafi gani mlionao, na wala hawajawakataza kuhoji, mnaweza kuwahoji hata leo mkitaka. Hao US hawawajibiki kwetu wala hao wanaofanyiziwa hawatuhusu. Siku wakitufanyia sisi matendo ya hovyo tutawahoji kama tunavyowahoji nyinyi hivi sasa.
Hivi umesoma kweli wewe, inamaana hadi sasa hujui kama US wanatufanyia mambo ya hovyo kabisa Sfrika!. Amka wewe Nungunungu!
 
Globalizarion ilihusisha Afrika pekee yake? Mbona Asia na Latin America wamepaa kupitia globalizarion?

Katika Dunia hii ukoloni ulikuwa Afrika pekee yake? Mbona Brazil, pamoja na kutawaliwa, leo ni nchi ya 7 kwa ukubwa wa uchumi Duniani?

Kwa nini nchi za Afrika zilizokaliwa na wakoloni kwa miaka mingi zaidi zina maendeleo mazuri zaidi kuliko zilizopata uhuru mapema au nchi kama Ethiopia ambayo haikutawaliwa kabisa?

Tatizo kubwa la Afrika ni uongozi usio na maono, uongozi wa kidikteta, upendeleo (wa vyama, ukabila, maeneo). Kama tutaendelea na hizi siasa za kutekana, kukomoana, kukomeshana, maamuzi ya watu wachache, vyama vya siasa kuonekana ni muhimu kuliko Taifa, kamwe Afrika haitafika popote.

Nchi kama Botswana, kwa kulinda uhuru wa raia wao na misingi ya demokrasia, wameweza kuijenga vizuri sana nchi yao, na kama hawatavutwa na siasa za kidikteta ambazo zipo katila mataifa mengi ya Afrika, wataendelea kusonga mbele kwa kasi.

Bila kuwa na utawala shirikishi, Taifa haliwezi kufika popote. China kwa miaka mingi wameendekeza siasa za kibabe. Matokeo yake, China mpaka leo ni maskini. Wanachojivunia ni uwingi wa watu unaowatengenezea GDP kubwa lakini kwa maendeleo ua watu, wanazidiwa na mataifa kama Botswana. Leo nchini China, makampuni yanayotamba kwa ukubwa na faida kubwa, ni ya Ulaya na Amerika.

Waafrika acheni visingizio. Tatizo la maendeleo duni ya Afrika, lipo kwa watawala wao ambao wengi wao ni wabovu sana na wasiojua chochote kuhisi uchumi wa kisasa. Watawala wa Afrika wanafurahia ukubwa badala ya utumishi, wanajivunia ubabe badala ya werevu.
Utachekwa wewe, China maskini!!??. Hahahaaa duuu we unaishi sayari ya pluto nini?. China anacompete na US we unasema maskini!!?
 
M

Mtu mwenyewe unajiita bams, unategemea nini sasa!
 
Chanzo cha matatizo ya Africa ni ukosefu wa utawala bora wenye kujali maslai ya wengi bali ya wezi wachache wanaojiita serikali za kiafrica.Wakoloni weusi awapendi kutawala waliofanikiwa bali salama yao ni kutawala futureless people ( wanyonge) kwa kuwafanya wawe fukara ili watawaliwe kirahisi.Kuwalaumu wakoloni eti walitutawala ndo maana tu masikini ni matumizi finyu ya akili maana mkoloni aliondoka miaka 60 iliyopita Africa tena na begi lake tu aliacha kila kitu Africa ikiwemo Pesa na mali ni asilimia 35% tu ya raslimali ndo iliyochukuliwa enzi ya mkoloni iliyobaki ni nyingi kuliko iliyochukuliwa.Kama kutawaliwa ni kigezo cha kuwa masikini mbona hata nchi zingine nje ya Africa zilitawaliwa baada ya uhuru zilipiga hatua.Kuwalaumu IFM na mashirika ya fedha ya kimataifa kwamba ni kikwazo ni upimbi hayo mashirika hayako Africa pekee mbona Brazil,uturuki,Malaysia,nk zimeyatumia zikaendelea?Kama tunapewa mikopo na misaada na haielekezwi kwenye miradi tija bali whiteelephat project sio kosa lao bali watawala wetu,maana hawana vipaumbele endelevu kama nchi kila ajae huja na vipaumbele vyake vichotavo matilioni na avimalizi anastaafu anaingia mwingine huja na vyake pia utelekeza vya mwenzake hapo matilioni upotea je hapo watalaumiwa mabeberu?.Watawala wa kiafrica wameshindwa kutuletea maendeleo sababu hawana dira zaidi ya kupora wamebakia kuwalaumu mabeberu na wakoloni ili kuficha kushindwa kwao,maana ni sisi ndio tumeshindwa watumia mabeberu positively maana hakuna taifa lililoshirikiana nao likawa fukara.Kama wakoloni walituletea maendeleo kwa mazingira haya haya wao wameshindwa nn?
Hakuna anaepinga maendeleo bali watu upinga udikteta na kutaka kuirudisha nchi kwenye ukomunisti yaani nchi kuwa mali binafsi mawazo ya mtu mmoja ndo yawe sheria.Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe je matatizo kama ufisadi,udikteta,uvivu,ubinafsi tutawalaumu wao?.Kusema wamechangia kuuwa viwanda vyetu ni uongo vingi vilikufa sababu mabadiliko ya technology,ukosefu wa usimamizi,ubadhirifu (SU soma ule) nk.Kama waafrika tukaamua kubadili mifumo ya uongozi ikatukomboa toka kwa hawa wakoloni weusi tutapiga hatua.
 
Hakuna mzungu anayehangaika na magufuli bwana wewe! He is insignificant.

Acha propaganda za kutia tia huruma!

Hakuna atakayemtoa madarakani huyo Rais wako.

Relax. Endelea kutumbua keki ya Taifa kwa raha zako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I guess wewe siyo mtanzania na siyo mwafrika kwa ujumla wake. Kama ndiyo basi wewe ni mchumia tumbo ambaye uko tayari hata kutoa tiGO watu wabonge ilimradi uendelee kupeleka mkono kinywani, bure kabisa mara 100000000000000000
Mpumbavu wewe

Africa hai operate hicho unachoongea....wanao operate hivyo ni nchi za kipumbavu za kijima na kijamaa kama TZ ya mawe,Uganda,Burundi na uozo mwingine

Nchi serious za kiafrica kama Kenya,SA,Ghana,etc zina compete kwenye globalization na ndio zina maendeleo zaidi ya huu upumbavu unaongelea.

Mimi ni Mtanzania kama ulivyo wewe au yeyote yule,ila sipo hapa kufuata idealogy hovyo kabisa za kijima za kokoto na wapumbavu kama nyie.

Nataka maendeleo sahihi yaliyo backed na democracy ya kiwango cha juu na rule of law,kama ilivyto Kenya,SA,etc,sio huu uchooni unaosemea hapa.

Incompetencies za serikali ya mawe ku-run nchi into maendeleo mtambuka na globalization pull ndio unasema eti ni Afrika nzima,hovyo wewe.
 
Hujui chochote, unachojua ni matusi tu. Kenya, South Africa na wapi sijui Ghana unakozungumzia wewe, unajua pia hali ya ushoga na usagaji iliyopo kwenye nchi hizo kama sharti la mabeberu na magays wenzako ili wapatiwe assistance kwenye maendeleo yao. Unaongea tu hovyohovyo na.kuhara kama bata hivi!!
 
I guess wewe siyo mtanzania na siyo mwafrika kwa ujumla wake. Kama ndiyo basi wewe ni mchumia tumbo ambaye uko tayari hata kutoa tiGO watu wabonge ilimradi uendelee kupeleka mkono kinywani, bure kabisa mara 100000000000000000
Confirmed, wewe ni MPUMBAVU, And next time usitoke tu chooni na kuja kuandika takataka hapa, hii ni jamii forum , narudia tena hii ni jamii forum, sio wote manduza huku km mnavyopigiana makofi huko kwenye vikao vyenu vya chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom