Utandawazi (Globalization): Adui hatari wa Afrika asiyesemwa kwa undani madhara yake

mleta mada ni mbumbumbu.

huyo unaemsifia analeta maendeleo kila alichovaa na silaha zinazomlindq na gari anazotumia na ndege anazonunua kinyume na taratibu za manunuzi hadi kifaa alichotia kidole kusajili laini ya simu hadi simu anahotumia hadi kile kimota alipanda siku anazurura kwenye rubondo vyote ame-import kutoka kwa mabeberu.
Asante kwa kutambua umbumbumbu wangu, sasa njoo na hoja unielimishe nami nielewe. Halafu, swala siyo ubeberu swala ni ubeberu dhidi yetu waafrika, lazima tuukatae. Jitahidi uje na hoja zenye mashiko siyo attacking personalities za.watu.
 
Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika.

Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba kuanzia karne ya 14 hadi 16 huko Ulaya tayari vijitaifa (nation states) vilikuwa vimeanza kupata nguvu za kidola na kiuchumi.

Hivyo kwasababu ya ubabe, matumizi ya nguvu kujitanua kidola kuliibuka vita kubwa sana iliyopiganwa kwa takribani miaka 30 huku vita hiyo.kwa upande mwingine ikibebwa na imani ya katoliki dhidi ya waasi wake walioongozwa na Martin Luther.

Mwaka 1648 Uliitishwa mkutano wa amani uitwao Westphalia ambapo vijistate hivyo vilikubaliana mambo kadhaa ikiwemo kusitisha vita na kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwingine na kamwe kutoingilia uhuru wa.maswala ya ndani ya nchi mwingine (sovereignty).

Baada ya hapo uchumi wao ulikua sana na kuka wa na hitaji la masoko na wafanyakazi wenye gharama nafuu wa viwandani na mashambani.

Mwaka 1884/1885 waliitana wakubwa hao chini ya Chancellor wa Ujerman Bismack wakatugawana sisi waafrika kwaajili ya kututawala na kupata malighafi za viwanda vyao na nguvu kazi isiyo na gharama.

Hapo ndipo dhana ya utandawazi (globalization ) ilipoanza. Waafrika tulinyonywa sana hadi damu wakati huo. Babu zetu walichukuliwa kwwnda kutumikishwa Ulaya na Amerika.

Kwa mchango wa nguvu kazi za babu zetu na wizi wa malighafi na rasilimali zetu waliweza kuendeleza nchi zao kwa kujenga mifumo imara ya mitaji na faida kwaajili ya maendelwo zaidi.

Ukoloni ulipokwisha miaka ya 1960 wakubwa hao walikaa tena miaka ya 1980 wakasema lazima tuurudishe ukoloni Afrika tena kutokana na kunogewa na wizi na uporaji.

Walikuja na mpango wa marekebisho ya kimfumo (Structural Adjustment Program- SAP) ukiwa ni.mpango uliolenga kuuzima mpango kababmbe wa waafrika kudai marekebisho mapya ya mfumo wa uchumi duniani (New International Economic Order) ambao uliitaka jumuiya ya kimataifa kurekebisha mifumo nyonyaji ya kibiashara kupitia WTO, IMF na WB ili waafrika nao wawe na mazingira sawa ya ushindani wa kibiashara na kiuchumi.

Hivyo SAP ililazimisha waafrika kuhurisha mifumo yao yankiuchumi (liberalozation of economy) kwa kuruhusu masoko huria (free markets) na mfumo wa siasa za vyama vingi.

Wakubwa hao walijua fika kuwa waafrika hatuna uwezo wa kufanya investments kubwa hivyo kwa uhuria huo wa.masoko ungewapa nafasi wao kutawala biashara na shughuli zingine za kiuchumi Afrika.

Aidha kupitia mifumo ya vyama vingi vya siasa walijua kuwa tutagawanyika na hivyo watatutawala kirahisi kupia vyombo vyake vyankinyonyaji vya IMF, WTO na WB. Baada ya kufanikiwa katika maeneo hayo tunashuhudia Afrika ikiwa na migogoro mingi ya kisiasa huku wao wakiendelea kuchota rasilimali zetu kilaini kabisa.

Viwanda vingi vilivyoanzishwa wakati wa mwanzo baada ya uhuru katika nchi.nyingi za Afrika vimekufa si kwasababu nyingine bali kwa mikono ya wakubwa hao kutotaka tupate mifumo imara ya kiuchumi ya kututoa huku tuliko.

Ndugu zangu utandawazi kwa maana halisi si kama watu mnavyoutafsiri kirahisirahisi, huo ni ukoloni kabisa unaotumia nyenzo na vyombo vya kimataifa kuinyonya Afrika.

Madeni makubwa ya nchi za Afrika ambayo yanadaiwa na WB yanatengenezwa kimkakati (si rahisi nikaeleweka hapa) ili nchi za Afrika ziendelee kuwa tegemezi.

Hivyo kwa picha hiyo, ni vema tuelewe malengo ya wazungu kwetu sisi waafrika kuwa siyo.mazuri. Na ni vema mkajua kuwa.wakubwa hao hawapendi.kusikia nchi masikini zinajitambua na kuanza kupambana kujikomboa.

Tanzania ilipo sasa imejitambua na hongera sana Rais Dr. John Pombe Magufuli kwa kuutambua ulaghai wa wakubwa hao na hivyo kuamua kwa dhati kuikomboa Tanzania.

Kelele unazopigiwa kuhusu madai ya udikteta na kujaribu kukuharibia taswira ili uchukiwe na wananchi wako ili mwishowe wao wajihalalishie kukutoa madarakani.

Ninakuomba, simama imara kwani Watanzania wenye akili kama mimi tuko wengi na tunakuunga mkono. Unapoipeleka Tanzania kila mwenye akili timamu anaona.

Kasi ya maendeleo si ya kuridhisha kama tulivyozoea kuimbiwa bali wakati huu kasi ni kubwa kiasi inawatisha wakubwa hao. Pigana Jemedari tuko nyuma yako.

Watanzania wote niwaombe tumuunge mkono Rais wetu na tusikubali kwa namna yoyote adhalilishwe na manyang'au na.majizi. Tumuombee aongoze ukombozi wa kweli.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Siku si nyingi Afrika itahesabiwa haki na hao wanaotutawala na kutunyonya na kututesa. Mungu amewaandalia mahali pao stahiki.
Adui namba moja wa Afrika ni watawala wasiofuata Sheria na katiba wanazoapa kuzilinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe kwamba tuwe na chama kimoja.

Ila kiwe kingine hata SAU, CHAUMMA au ADC na siyo CCM.

Yeye bandiko lake lote linataka tuwe na chama kimoja, halafu rais awe Magufuli! Msingi wa bandiko lote refu ni hapo. Anataka kuhalalisha ccm kupita bila kupingwa kwa kigezo cha kwamba tumejitambua, na vyama vingi vililetwa na wazungu ili kututawala. Halafu anajiita msomi. Nyuzi hizi za kutaka chama kimoja zimeanza kuwa nyingi sana hapa jukwaani, na wote wanataka chama kibaki ccm, na rais awe Magufuli!
 
Baki nalo likusaidie kuendelea na lawama zako kwa serikali bila kujua mfumo wa dunia unavyoziyumbisha nchi za Afrika. Kalaga baho ndugu.
Beberu beburu kila siku,hapo hapo vitaba wanavyo tumia madogo mashuleni mnawategemea wao,afu unajitapa umesoma
 
Nchi za magharibi hazijaacha agenda yao ya.msingi ya kuendelea kuitawala Afrika ingawa awamu hii si kwa kutumia mabavu tena bali kwa kutumia mbinu ovu za kiuchumi mfano kutoa mikopo kwa Africa yenye masharti magumu, kuweka rules of the game sawa kwenye biashara za kimataifa huku wakijua tutakwama kutokana na uwezo wetu mdogo. Kutuletea liberal politics ili tugawanyike watutawale. Na pia laboratory diseases kama Ebola, HIV, SARs nk ili watengeneze fedha na kucompromise mifumo yetu ya kiafya ikiwemo utoaji kinga za magonjwa mbalimbali. Kwwnye teknolojia wametuletea gadgets ambazo zimetuenslave unakuta muda wote mtu yuko kwenyw mtandao bila tija yoyote. Kusambaa kwa silaha Africa na vita vya wenyewe kwa wenyewe ni matokeo ya ninachokisema. Hivi ninavyozungumza, Afrika inaendelea kumezwa na foreign military bases nyingi zikiwa za wamamrekani na mahasimu wao wa kiuchumi China. Waliofika Kaskazini mwa Afrika wanajua ninachokisema.
Hivyo baadhi yetu tusiropoke tu eti kwa sababu tunamchukia Magufuli, tuseme ukweli kuhusu bali halisi na.kile Magufuli anajaribunkupambana nacho.
Bado una primitive ideology ulizokaririshwa shule, hii ni dunia ni survival for the fittest
 
Vyuo vodafaster ndo changamoto zake hizo bro/sister

Huu uzi wa propaganda ya kitoto uliouleta hapa utaukimbia, tulishatoka utumwani Misri, haturudi kwenye mfumo wa chama kimoja katu asilani. Narudia tena, endeleeni kunajisi chaguzi zetu kwa kuleta uhayawani wa wazi, kisha mtarajie mtatuambia kuwa demokrasia hii ililetwa na wazungu. Kwa taarifa yako kwa hilo mmekwama.
 
Wale waliosoma hiki kitabu wapo humu?
IMG_20200105_092656_653.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kutambua umbumbumbu wangu, sasa njoo na hoja unielimishe nami nielewe. Halafu, swala siyo ubeberu swala ni ubeberu dhidi yetu waafrika, lazima tuukatae. Jitahidi uje na hoja zenye mashiko siyo attacking personalities za.watu.
ubeberu dhidi yetu ni nadharia za lumumba tu mnazotumia kuwashikia akili wasiojua kupambanua mambo. mambo yamewashinda mnasingizia ubeberu. bullshit.
 
Wakihoji kuhusu demokrasia,uhuru wa vyombo vya habari,uhuru wa kuongea,haki za binadamu n.k mna waita mabeberu...

Ila wakiwapa hela za mikopo na ufadhili mbalimbali kama ujenzi wa vyoo vya shule..mnawaita wawekezaji na wadau wa maendeleo.

Akili kumkichwa.
#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app

Waliziiba kwetu na bado hawatoi bure bali tarudusha tena kwa riba kubwa, kwa hiyo suo hisani.
 
Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika.

Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba kuanzia karne ya 14 hadi 16 huko Ulaya tayari vijitaifa (nation states) vilikuwa vimeanza kupata nguvu za kidola na kiuchumi.

Hivyo kwasababu ya ubabe, matumizi ya nguvu kujitanua kidola kuliibuka vita kubwa sana iliyopiganwa kwa takribani miaka 30 huku vita hiyo.kwa upande mwingine ikibebwa na imani ya katoliki dhidi ya waasi wake walioongozwa na Martin Luther.

Mwaka 1648 Uliitishwa mkutano wa amani uitwao Westphalia ambapo vijistate hivyo vilikubaliana mambo kadhaa ikiwemo kusitisha vita na kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwingine na kamwe kutoingilia uhuru wa.maswala ya ndani ya nchi mwingine (sovereignty).

Baada ya hapo uchumi wao ulikua sana na kuka wa na hitaji la masoko na wafanyakazi wenye gharama nafuu wa viwandani na mashambani.

Mwaka 1884/1885 waliitana wakubwa hao chini ya Chancellor wa Ujerman Bismack wakatugawana sisi waafrika kwaajili ya kututawala na kupata malighafi za viwanda vyao na nguvu kazi isiyo na gharama.

Hapo ndipo dhana ya utandawazi (globalization ) ilipoanza. Waafrika tulinyonywa sana hadi damu wakati huo. Babu zetu walichukuliwa kwwnda kutumikishwa Ulaya na Amerika.

Kwa mchango wa nguvu kazi za babu zetu na wizi wa malighafi na rasilimali zetu waliweza kuendeleza nchi zao kwa kujenga mifumo imara ya mitaji na faida kwaajili ya maendelwo zaidi.

Ukoloni ulipokwisha miaka ya 1960 wakubwa hao walikaa tena miaka ya 1980 wakasema lazima tuurudishe ukoloni Afrika tena kutokana na kunogewa na wizi na uporaji.

Walikuja na mpango wa marekebisho ya kimfumo (Structural Adjustment Program- SAP) ukiwa ni.mpango uliolenga kuuzima mpango kababmbe wa waafrika kudai marekebisho mapya ya mfumo wa uchumi duniani (New International Economic Order) ambao uliitaka jumuiya ya kimataifa kurekebisha mifumo nyonyaji ya kibiashara kupitia WTO, IMF na WB ili waafrika nao wawe na mazingira sawa ya ushindani wa kibiashara na kiuchumi.

Hivyo SAP ililazimisha waafrika kuhurisha mifumo yao yankiuchumi (liberalozation of economy) kwa kuruhusu masoko huria (free markets) na mfumo wa siasa za vyama vingi.

Wakubwa hao walijua fika kuwa waafrika hatuna uwezo wa kufanya investments kubwa hivyo kwa uhuria huo wa.masoko ungewapa nafasi wao kutawala biashara na shughuli zingine za kiuchumi Afrika.

Aidha kupitia mifumo ya vyama vingi vya siasa walijua kuwa tutagawanyika na hivyo watatutawala kirahisi kupia vyombo vyake vyankinyonyaji vya IMF, WTO na WB. Baada ya kufanikiwa katika maeneo hayo tunashuhudia Afrika ikiwa na migogoro mingi ya kisiasa huku wao wakiendelea kuchota rasilimali zetu kilaini kabisa.

Viwanda vingi vilivyoanzishwa wakati wa mwanzo baada ya uhuru katika nchi.nyingi za Afrika vimekufa si kwasababu nyingine bali kwa mikono ya wakubwa hao kutotaka tupate mifumo imara ya kiuchumi ya kututoa huku tuliko.

Ndugu zangu utandawazi kwa maana halisi si kama watu mnavyoutafsiri kirahisirahisi, huo ni ukoloni kabisa unaotumia nyenzo na vyombo vya kimataifa kuinyonya Afrika.

Madeni makubwa ya nchi za Afrika ambayo yanadaiwa na WB yanatengenezwa kimkakati (si rahisi nikaeleweka hapa) ili nchi za Afrika ziendelee kuwa tegemezi.

Hivyo kwa picha hiyo, ni vema tuelewe malengo ya wazungu kwetu sisi waafrika kuwa siyo.mazuri. Na ni vema mkajua kuwa.wakubwa hao hawapendi.kusikia nchi masikini zinajitambua na kuanza kupambana kujikomboa.

Tanzania ilipo sasa imejitambua na hongera sana Rais Dr. John Pombe Magufuli kwa kuutambua ulaghai wa wakubwa hao na hivyo kuamua kwa dhati kuikomboa Tanzania.

Kelele unazopigiwa kuhusu madai ya udikteta na kujaribu kukuharibia taswira ili uchukiwe na wananchi wako ili mwishowe wao wajihalalishie kukutoa madarakani.

Ninakuomba, simama imara kwani Watanzania wenye akili kama mimi tuko wengi na tunakuunga mkono. Unapoipeleka Tanzania kila mwenye akili timamu anaona.

Kasi ya maendeleo si ya kuridhisha kama tulivyozoea kuimbiwa bali wakati huu kasi ni kubwa kiasi inawatisha wakubwa hao. Pigana Jemedari tuko nyuma yako.

Watanzania wote niwaombe tumuunge mkono Rais wetu na tusikubali kwa namna yoyote adhalilishwe na manyang'au na.majizi. Tumuombee aongoze ukombozi wa kweli.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Siku si nyingi Afrika itahesabiwa haki na hao wanaotutawala na kutunyonya na kututesa. Mungu amewaandalia mahali pao stahiki.
This material was worth in the late 70s
The book you are referring to How Europe undeveloped Africa may not be applicable now 60yrs after independent. We need to generate new strategies to develop our nations rather than putting blames to our colonisers who left 60yrs ago. Hivi haya mambo yalikuwa wakati wa siasa za ujamaa tuliwaita mabeberu sasa ni development partners you cannot have development in isolation. Remember almost all manuscripts are living documents except the bible so your reference book now needs revision

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ssante kwa kunikumbusha. Lakini demokrasia yenyewe brohter/sister ni ile tuliyoletewa na wazungu kama sharti la SAP (nilishalisema hata hivyo)
hivi maana ya demokrasia ya kiafrika
ni ipi tofauti na ya wazungu?
suti au suruali kwa kwa sisi waafrika ina maana nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongelee moja la viwanda kwenye mada yako hafifu;
1.Wakati wakoloni wanakuja walikuta mna kiwanda chochote.
2.Viwanda walivyoanzisha wazungu unasema waliviua hao hao wazungu, huu uongo umeutunga kwa faida ya chama au faida yako binafsi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi maana ya demokrasia ya kiafrika
ni ipi tofauti na ya wazungu?
suti au suruali kwa kwa sisi waafrika ina maana nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app

Demokrasia ya kiafrika ni walioko madarakani kunajisi box la kura wapendavyo bila kuhojiwa, kwa kisingizio kuwa wao ni wazalendo. Halafu wakihojiwa kuhusu huo uhayawani wanakimbilia kwenye kichaka cha kuwa sisi ni nchi huru, hivyo tusiingiliwe mambo yetu ya ndani.
 
Back
Top Bottom