ningemwambia watu wanakutania hivi mkuu wa nchi " palitokea mkutano wa madaktari bingwa dunianikutoka nchi tatu,China, Ugerumani na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikia yaliyofanywa na ktk nchi zao. Mchina akaanza, kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate. Mjerumani... hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali 3 za dhahabu. Mtanzania......., akacheka akasema kwenu bado hamjafikia kiwango rekodi yetu, sisi hapa bagamoyo alizaliwa mtot hana kichwa tukamwekea Nazi na sasa ni RAISI"[/QUOTE]
Nasisitiza tu, na tena nazi wenyewe ilikuwa koroma