Mimi ninge muuliza hivi anatambua kua yeye ni Raisi waTanzania ? sababu sijawahi sikia ama kuona ametusaidia chochote .
ame acha nchi kama haina raisi . angalia vifutavyo
1. umeme kashindwa kutatua ,
2. ishu yamafuta nayo imemshinda ,
3. usafiri treni na ndege umemshinda ,
4. thamani ya shilingi inazidi kuporomoka ,
4. alituahidi kua kila mwezi ata hutubia nayo imemshinda ,
5.sera alio ianzisha ya magamba nayo imemshinda ,
7.rushwa nayo imemshinda ,
8.Madawa yakulevya pamoja na ana majina yao nalo limemshinda ,
9. Mafisadi nao wame mshinda .
hi ni utendaji wa kila siku sijaongelea ahadi zake
kwakweli sijui ni nini ambacho ameweza kufanya na akatimiza.