ngome
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 235
- 98
Habari wana jf naomba munijuze kwamakuni hili neno utamu lina maana gani na wap mahala sahihi kutumika, maana mtu akila asali husema tamu, akila ndimu husema tamu akifanya mapenz husema matamu, pia akila vtu vya chumvi husema tamu, sasa neno utamu lina maana gani? na wap mahala sahii litumike?