Utamu

abunerimgaya

Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
78
Reaction score
15
MALIZIA MISEMO IFUATAYO
(1)Utamu wa kazi ni "PESA"
(2)Utamu wa usingizi ni "NDOTO"
(3)utamu wa FACEBOOK ni..........
(4)Utamu wa mapenzi ni..................
(5)toa na wewe ya kwako............
 
Utamu wa kusexiwa ukunwe.
 
hiyo uliyoifikiria tutaitaja wala hatuitaji, eti utamu wa........!!!
 
utamu wa kufumania kujinyonga
utamu wa penzi kile cha uwizi
utamu wa gomba kiroba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…