Picha nzuri sana hii. Lakini naiona shida moja, hiyo fensi ya nyasi na haya majiko ya kuni na hawa wapishi wenyewe! Sijui kama upande wa nyuma kuna gari la Faya.
Hakana utapia mlo. Ndio uzuri wa maisha ya vijijini utapia mlo ni nadra sana kulinganisha na mijini. Hiki ni kielelezo kuwa chakula kama samaki huyu kinaliwa pia na watoto nyumbani tofauti na mijini ambako kinaliwa kwenye mabaa au migahawa tu.
...umpatie ugali wa unga uliochanganywa, unga wa mahindi na muhogo, na pembeni mlenda/mchicha na pilipili kibao na gudulia la maji. FP pita mtaa huu kuna samaki umpendaye samaki wa kuokwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.