Basi huyu akianza kujamba utadhani pancha ya catapilla
Wala hujakosea yaani yupo kama kaka yake yule mwenye utata wa ..........................Call me J
Wala hujakosea yaani yupo kama kaka yake yule mwenye utata wa ..........................Koromije
Ukichunguza sana kwenye sahani hii utaona hiyo nyama nyeusi kama kichwa cha panya samahani lakini
Ohoooo!!!huyu atakuwa na undugu na lemutuz.
Basi huyu akianza kujamba utadhani pancha ya catapilla
na tumbo lake utafikiri mkoba wa kinyoziKwa kumuangalia tu huyo ni mwanamke wa wapi
Ohoooo!Halafu inaonyesha wanawake wanakula sana kuliko wanaume,mwingine huyu![]()
Halafu inaonyesha wanawake wanakula sana kuliko wanaume,mwingine huyu![]()
Afrika kubwa hii, utamaduni wa ulaji "kabila"hiyo, Tz haupo.Kwa kumuangalia tu huyo ni mwanamke wa wapi
Wala hujakosea yaani yupo kama kaka yake yule mwenye utata wa ..........................
Wala hujakosea yaani yupo kama kaka yake yule mwenye utata wa ..........................
Ukichunguza sana kwenye sahani hii utaona hiyo nyama nyeusi kama kichwa cha panya samahani lakini

Siku zote najiuliza, hivi kwanini wanawake wa kibongo wanakula sana bila hata kujali vitambi zembe? Utakuta mwanamke anakula chapati 6 na supu ya kichwa cha ng'ombe kisha anashushia na soda mbili na chai juu. Hapo chai tu bado kula mchana na usiku. Yaani mwanamke anakula utafikiri hatoiona kesho, hapo hapo anakuambia yuko kwenye diet why jamani?

huyu ni haki yake