Utamu wa ndoa kujitunza

Utamu wa ndoa ni wanandoa wote wawili kila mtu kujua wajibu wake na kutimiza wajibu kwa mwenza wake na familia yake kwa ujumla.Wewe jistiri,itunze ndoa yako ,jiheshimu lakini kama upande wa Pili haujitambui,bado ndoa yako itakua chungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, mambo ni mengi mda hautoshi,nipo ndani kwa hisani ya corona.😂😂😂😂
Tupo ndani wengi baba kiasi kila mda ni kushika simu na jf.
Hadi Corona ipite thread zote za jf nitakuwa nishazisoma 😂😂😂
 
Tupo ndani wengi baba kiasi kila mda ni kushika simu na jf.
Hadi Corona ipite thread zote za jf nitakuwa nishazisoma 😂😂😂
Kabisa, ni kuangalia tu tv. hadi macho yaume.
 
1. Kutuonyesha vichuchu...
2. Kalio limebinjuliwa...

Kwenye ndoa YAMERUHUSIWA?

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dada yupo insta mweupe hivi kaumbika mwenyewe..anapenda kujichukua video anatikisa makalio Mara anaonyesha mapaja..Basi nikahisi Ni wale wanaojiuza..juzi kapost picha ya anniversary miaka9 nilichoka..aisee..mke wa mtu na afanyayo tofauti..nikajisemea labda ndiyo lifestyle yake na anaruhusa kutoka kwa mumewe

Simjudge coz am not perfect pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiyo DP ni wewe kweli, basi nataka ujue nakuhitaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Dada Leti, nakupenda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mko wachache sana, hongera kwa kujitambua bidada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…