Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
kheeeee! Pooouleeee shosti! Mkanye mkeo ajifunze kutunza ndoa la sivyo ndoa itaota mabawaa!
Hujawahi kuolewa maandishi yako yanajielezakheeeee! Pooouleeee shosti! Mkanye mkeo ajifunze kutunza ndoa la sivyo ndoa itaota mabawaa!
Ni Single bibi ajuzaaAu single bibi???
Hujambo dada leti??Mweee! Haloooooooo!
Hivi zesh nimemkosea nini mimi??? AmenibulokiNi Single bibi ajuzaa
Mpendwa kuna mumewe humu sitaki ushahidi troublemakerHivi zesh nimemkosea nini mimi??? Amenibuloki
Haustahili kutoa ushauri kwa waliopo kwenye ndoa.Ndio. Sijaolewa.
Subhannallah Llah, sasa mbona Zesh hukuniambia?Mpendwa kuna mumewe humu sitaki ushahidi troublemaker
Anajua yote hayoKwani nawe ulimwambia kwamba unawake 2
Aisee sio kila ninachoandika jukwaani ndio maisha yangu πππUna machungu ya kuachika! Hahhaa Pooouuuleeee!
Itakuwa hajaolewa bado. Teh teh tehhhMbona na wewe umebinua kalio na kuacha chuchu nje?
Nitamuuliza nini tatizo?Anajua yote hayo