Utamu wa mke...

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,876
7,934
10366037_758643484187644_1963753340946816666_n.jpg
 
ILA kwa kweli Sio muwe wanne...Muwe wawili tuuu...Ahhh mume anakuwa mtamuuu we acha....
Kwasababu akija kwakwo wewe wa 1 ..utahisi dah mwenzangu anafaidi pengine utajitahidiii ili mume akuone wewe zaidi...Utakukuruka kwa style zote na kupika..Utakuwa unaupdate styles na maakuli na mahaba kila wakti.

Akienda kwa yule mwingine nae utakuwa anajitahidi baasi hapo patakuwa ni ushindani...Hutomkinai mume wako..Ila ukiwa we mwenyewe kuna kule kujisahau...Unajibweteka unajua tuu huyu yupo hakuna atakayemchukua...Km ni kulala utakuwa unajilaza tuu km gunia...Unajiweka rough km unamtoto mdogo tena utakuwa unamsahau baba wakati wote we na mtoto tuu...

Pili ukiwa na mwenzio Mwanamke unakuwa na wivu...Hamu na mwenzio inakuwa haiishi...SIELEWI WHY ila ndio hivyo wanawake tulivyo...

Ila Hatupendi wanaume kuwa na wanawake zaidi ya wewe uloolewa nahisi ni sababu tunapata changamoto sana inabidi we kila wakati uhangaike tuuu, uhangaishe kichwa tuu...

Lkn kuna wakati mwingine Wanaume wanakosea hasaaa kuchagua...Anaweza kwenda kwa mwanamke mwingine Balaa...Unapata mkwe mwenza hajitahidi kimapenzi bali anajitahidi ki USHIRIKINA hapo ndilo jangaa...Mume anasahau hata watoto nyumbani...Hapo ndipo MAJANGA yanaanza
 
Looh mi ndo nakaribia kuvuta wa pili,naomba tu asiniloge

kwa budget hii ya sisim wake wanne haiwezekani labda uwe ukoo wa panya
 
Ooyooo hakuna cha utamu wala cha asali huyo mmoja tuu nanga inapaa labda hiyo sahani iwe nayo inadokolewa na watu wa nje na ambao huwa hawataki kuwana mke na wapo wengi tena hawachezii mbali na kama wanne basi ni maendeleo ya kuzalisha mitoto ya mitaani na kuzagaa na kutia huruma kwa namna wanavo teseka na baba kutokuwajali na huwa na misifa ya wake wanne anao
 
Back
Top Bottom