Utamu wa mapenzi ni hivi

Uchoyo wa kila kitu kwahiyo usijisumbue kuomba chochote hata kama biblia imesema tusinyimane..

lakin Yesu alisema hakuna lililogumu kwake naamin tukifunga na kuomba hyo roho mbaya ya unyimi na uchoyo itakutoka utakuwa kiumbe kipya chenye moyo wa huruma
 
lakin Yesu alisema hakuna lililogumu kwake naamin tukifunga na kuomba hyo roho mbaya ya unyimi na uchoyo itakutoka utakuwa kiumbe kipya chenye moyo wa huruma

Hakuna linalishindikana kwake na sio kwangu...
 

self contradiction!
 
bas shemeji nikutakie usk mwema naona wifi yako naye anataka kuogeshwa si unajua tena yale ya UTAANZAJE..... Teh teh teh

Lol... ataogaje mapema ivi!!!!! okey then usiku mwema shemejiiiiiii.... mwambie wifi atulize mizuka... muda wa kuoga bado.
 

Yaani natamani mm kumpata mtu anipende nami nimpende.
 
kwahiyo kama sisi ni BINADAMU what happens

Kama binadamu tuna tofauti zetu baina ya mtu na mtu. Hata wale identical twins huwa wanapishana kimawazo. Wana jinsi tofauti ya ku-react wanapoudhiwa/furahishwa.

Kwa mantiki hiyo basi ukiona unaishi na mtu na hamgombani/kupishana mawazo hata kidogo walahi nakuapia mmoja wenu ni zoba kwenye huo uhusiano (refer: 'reacher & settler' r/ship).

I know mnapopendana na mtu ni kwa kuwa pia you two have a lot in common lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa kama binadamu tunatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…