Ni jambo lisilo pingika kuwa mapenzi ni tunu ya ajabu mno tulo tunikiwa na MUNGU, penzi ni tamu hasa inapo kuwa hivi;
1 ukipata unayempenda na yeye anakupenda
2 Ukiwa unadekezwa dekezwa kimahaba.
3 Ukipata anayejua kupenda na kufariji.
4 Ukipata anayekupatia vizawadi zawadi.
5 Tendo lenyewe la mapenzi ndo hukamilisha utam wa haya mapenzi.
huwa haidumu hiyo

ya hivi yapogo phillipins pekee
hahahaha hata tz yapo bwana
mwambie huyo labda yeye hajawahi kupata. Mwambie kamanda Exce ndio yake hayo
hahaha umeona eeeeeh hadi unahisi ulimwengu ni wako alone