Utamu wa asali

Tubadilishe heading iwe Before & after
 
Mkuu mbona kuna vitu 3 tofauti kabisa na tena havina uhusiano na ulichomaanisha.
1. Sioni cha mzinga wa nyuki wala dalili ya nyuki wa Asali zaidi ya nyigu wadogo, ambao sijawahi kuona wala kusikia wakizalisha Asali.
2. Mbwa aliyevimba kinywa tofauti kabisa na mbwa aliyepo katika picha ya kwanza. Watazame kupitia miguu yao ya mbele na rangi ya kifuani mwao.
3. Rangi za ngozi juu ya macho yao, zipo tofauti pia kuonesha ni mbwa 2 tofauti japo ni jamii au aina moja.
 
Pamoja na kwamba nimeelewa alichomanisha ila kiukweli uko makini sana kusoma picha, bila Shaka umesoma geography vya kutosha hasa hasa photography
 
Hapana ni huyo huyo tazama vizuri na hilo ni Sega la nyuki wadogo
 
Hapana ni huyo huyo tazama vizuri na hilo ni Sega la nyuki wadogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], basi hao nyuki kama wangeendelea kumuuma huyo mbwa, alikuwa anaelekea kuwa mweusi mwili mzima.
 
Kidogo niseme mbwa kawa nguruwe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kidogo niseme mbwa kawa nguruwe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…