Mkuu mbona kuna vitu 3 tofauti kabisa na tena havina uhusiano na ulichomaanisha.
Pamoja na kwamba nimeelewa alichomanisha ila kiukweli uko makini sana kusoma picha, bila Shaka umesoma geography vya kutosha hasa hasa photographyMkuu mbona kuna vitu 3 tofauti kabisa na tena havina uhusiano na ulichomaanisha.
1. Sioni cha mzinga wa nyuki wala dalili ya nyuki wa Asali zaidi ya nyigu wadogo, ambao sijawahi kuona wala kusikia wakizalisha Asali.
2. Mbwa aliyevimba kinywa tofauti kabisa na mbwa aliyepo katika picha ya kwanza. Watazame kupitia miguu yao ya mbele na rangi ya kifuani mwao.
3
Hapana ni huyo huyo tazama vizuri na hilo ni Sega la nyuki wadogoMkuu mbona kuna vitu 3 tofauti kabisa na tena havina uhusiano na ulichomaanisha.
1. Sioni cha mzinga wa nyuki wala dalili ya nyuki wa Asali zaidi ya nyigu wadogo, ambao sijawahi kuona wala kusikia wakizalisha Asali.
2. Mbwa aliyevimba kinywa tofauti kabisa na mbwa aliyepo katika picha ya kwanza. Watazame kupitia miguu yao ya mbele na rangi ya kifuani mwao.
3. Rangi za ngozi juu ya macho yao, zipo tofauti pia kuonesha ni mbwa 2 tofauti japo ni jamii au aina moja.
, basi hao nyuki kama wangeendelea kumuuma huyo mbwa, alikuwa anaelekea kuwa mweusi mwili mzima.Hapana ni huyo huyo tazama vizuri na hilo ni Sega la nyuki wadogo
hahahahahah we jamaa bhnNyuki wamemtengeneza Bull Dog wa ukweli sana
lakini hawa ni mbwa tofauti