Utamu upo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utamu upo wapi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by shakamohd, Apr 19, 2012.

 1. s

  shakamohd Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama utamu upo kwenye sukari mbona vyengine ni vya chumvi nahuwa vitamu? Na kama utamu upo kwenye chakula mbona vyengine haviliwi na vitamu? Nakama utamu upo kwenye furaha saa nyengine mbona kwenye ugomvi panakuwa patamu? Hebu nambieni utamu upo wapi hasa?
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Utamu upo hapo...!
  Hapo...!
  Paka halii nyau nyau mpaka aone samaki!
   
 3. s

  shakamohd Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh network searching.....................
   
 4. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  utamu uko duniani,
   
 5. J

  Jhung tiao Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utamu upo katikati ya mapaja..
   
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ya jinsia gani?
   
 7. s

  shakamohd Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama utamu upo duniani mbona tukifa tunaombeana kwenda mahala pema (patamu)?
   
 8. s

  shakamohd Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh.... Kama nihivyo mbona wajuzi wanasema jicho tamu?
   
 9. e

  evvy Senior Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utam upo paleeee
   
 10. Okya

  Okya Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utamu ni kile kinachokufanya unasikia raha moyoni hadi mwilini dat utamu
   
 11. s

  shakamohd Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo pamoja nawe mkuu sina nia ya kukupinga ila raha mtu hajipi mwenyewe so utamu utakuwa upo kwa mwenzako au upo wapi hasa? Mana kidole kimoja hakivunji chawa na nazi haijikuni mwenyewe mpaka akuwepo mkunaji!
   
 12. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Tum-pm rose muhando.Atueleze
   
 13. M

  Mashroud Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utamu upo kwenye tamu... wakuu.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Usidanganyike na rangi,utamu wa chai sukari,sasa wewe unazungumzia utamu wa nini hasa?
   
 15. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haswaa! Huyu anajua utamu ulipo.
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Ooh.. Oooh!!
   
 17. s

  shakamohd Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona kuna vyengine vya chumvi? Kwa mfano kileja,biscut, maharage matamu kweli kweli tena wala hayatiwi sukari hapa mm nipo njia panda utamu uwe wowote unaoujua wewe ila sehemu yake maalum haswa mm bado sijaufaham
   
 18. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  utamu uko kwa sir God
   
 19. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 60
  utamu wa mua uko kwenye kifundo
   
 20. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Utamu upo kwa kila kitu kinacholeta burudani na furaha ndani ya mtu
   
Loading...