Mimi nataka tamu ya bi kizee. Utanipa?Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.
Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.
Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.
Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....
Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....
Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana [emoji16] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28].
Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.
Jumapili njema nyote.
K' Matata.
Haipoo soma uzi tena.
Kabla sijabarehee nilikuaga nawashangaa mabro wanarudia makosa aliyofanya Mzee, come to realize the power of utamu is an incomparable
Sad to say.....
Hakuna kuzimika, mi nakula kulingana na hali yako. Kwahiyo hakuna effect itatokea zaidi ya kukupa utamuu ambao hukupata hata ujanani
kuchovya chovya huku unajiramba hauishi hamu huo wala hatuumalizi utamu asiliea oyeeeHahahahahahaaa nguvu ya utamu ni hatariii, unashangaa unavuta tuu na kesho unarudi tena hehehehehheee.
Utamu asilia hoyeeeeeeee
Siwezi kujiachia kuweka afya yangu rehani, napenda starehe hivo najitunza.
Nautunza uzee wangu ili niendelee kula raha, hakuna utamu kwa Kasie utakutana na mahaba ya samaki buree irudi ndani hadi kwenye kitovu hahahahhahaaa shauri yako.
Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.
Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.
Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.
Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....
Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....
Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana 😁 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅.
Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.
Jumapili njema nyote.
K' Matata.