Utamu unapatikana

Utamu unapatikana

Hahahahahahaaa uliiona hiyo clip eeehhh aahahahahhaaa hadi uhuru kashindwa jizuia kucheka hehehehehehee achana na utamu banaa.
Yeah niliiona mpaka nikacheka sana.. hahahahah sema utamu mnaupata nyie au hakina nani?
 
Ahaaaa Mamaaa Kasie wacha kujishusha hadhi namna hiyo.....utamu hauishi kihivyo. Embu tutafutane basi tuone kama kweli hauna utamu. Wanawake wa lika la kina Wema Sepetu wamechakazwa mno na wanaume wa kulipiza visasi (Wanaume wa Dar) kwa tamaa zao za kijinga hivyo hawana hata thamani tena kwa wanaume wanaojitambua. Tunataka wanawake waliotulia dizaini yako tuupime huo utamu. Usitudanganye kuwa hauna utamu, mimi sikuamini mpaka nipime mwenyewe.

Aahahahahhahahahahaaa na wewe unatafuta kufatiliwa na Nissan nyeupe sio..... Shauri yako.
 
Yeah niliiona mpaka nikacheka sana.. hahahahah sema utamu mnaupata nyie au hakina nani?

Utamu uko kwetu na nyie ndo mnaufata huo utamu ili muupate. Mkiwa mnafukunyua utamu wetu sie ndo tunapata utamu.... tukikaa na utamu wetu wenyewe hatuupati ni hadi mkuje muufukunyue.

Ila kwa mie haupo tena, nimekuwa kigagula kisha kabisa.
 
Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.

Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.

Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.

Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....

Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....

Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana [emoji16] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28].

Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.

Jumapili njema nyote.

K' Matata.
Aiseeeh, umeniweza Kasie nilipoona uzi huu mate yakanijaa nikajua unazungumzia mambo yanayopita mdomoni labda nitaona picha za vyakula, vinywaji hapo kumbe Loooh! Haya endeleeni mimi napita.
 
Nimependa utamu wa huu uzi sijui umewaza nn ila uzi mtamu!!

Hahahahahahaaa utamu utamu, utamu shurti ulambwe / urambwe. .....

Raambwaa raambwaa rambwatikaa
Maharaja yako jikoni nimeshayapika
Nangojea futa ya bwana, haijafika.

Shurti kuraambwaa hehehehhee siimooooo.
 
Utamu uko kwetu na nyie ndo mnaufata huo utamu ili muupate. Mkiwa mnafukunyua utamu wetu sie ndo tunapata utamu.... tukikaa na utamu wetu wenyewe hatuupati ni hadi mkuje muufukunyue.

Ila kwa mie haupo tena, nimekuwa kigagula kisha kabisa.
Hahahaha.... Pole kama utamu umeisha, ngoja niusake pengne kama nitaupata itakuwa poa sana.
 
Hahahahahahaaa utamu utamu, utamu shurti ulambwe / urambwe. .....

Raambwaa raambwaa rambwatikaa
Maharaja yako jikoni nimeshayapika
Nangojea futa ya bwana, haijafika.

Shurti kuraambwaa hehehehhee siimooooo.
Hahahaha tamu tamu tuu hata kama chumvi imezidi!!
 
Aiseeeh, umeniweza Kasie nilipoona uzi huu mate yakanijaa nikajua unazungumzia mambo yanayopita mdomoni labda nitaona picha za vyakula, vinywaji hapo kumbe Loooh! Haya endeleeni mimi napita.

Hahahahahahaaa poleee basi wa cha nikupoteze na bilauri ya shurbati.

download.jpeg

Karibuuu 😋 😋 😋.
 
Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.

Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.

Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.

Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....

Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....

Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana 😁 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅.

Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.

Jumapili njema nyote.

K' Matata.

Nilihadithiwa kuwa tamu za wanawake wazee ni tamu maradufu ya za vijana!!

Si umesema utamu huongezeka kila siku? Sasa pata picha utamu imetumika miaka 55 au 60!! Hiyo itakuwa tamu balaa
 
Asheenaleek aahahahahhahaaa nina rafiki yangu mmoja namuitaga baba yeyoo, akisoma hapa atanitafuta tuu.....

".......Sasa wewee mama yeyoo, ni mimi nafanya wewee au wewe nafanya mimi...!!??...."

Aahahahahhahahahahaaa kisa cha kumtoa nyoka pangoni ndo mambo kama haya haya..... utamu, ulimbo na ulimbombo, sijui sauti ya kumchukia pweza.... Yote hiyo ni utamuuuuuun.
Halafu we bimkubwa unaonekana ni mtundu sana aisee.
Unaonekana unajua jinsi ya kulicheza rhumba hahahaha pole yangu kama nitakuwa nimekudhania ndivyo sivyo.
 
Nilihadithiwa kuwa tamu za wanawake wazee ni tamu maradufu ya za vijana!!

Si umesema utamu huongezeka kila siku? Sasa pata picha utamu imetumika miaka 55 au 60!! Hiyo itakuwa tamu balaa

Hehehehheee hao waliokuhadithia walikudanganya.... sio kweli hata kidogo.

Ni zaidi ya shubiri kuna mmoja aliniambia.
 
Halafu we bimkubwa unaonekana ni mtundu sana aisee.
Unaonekana unajua jinsi ya kulicheza rhumba hahahaha pole yangu kama nitakuwa nimekudhania ndivyo sivyo.

Hahahahahahaaa maneno mingii ya Kasie, hakuna kitu walaahi. Kigagula anakuwa na mbwembwe gani kwa mfano, sema mziki wa kwenye dancing floor nacheza mwanzo mwisho maana mziki uko kwenye damu hehehehehee

Ila nakuwa nacheza kama nasinzia vile beats kama za wimbo wa, " nibebebebe siunibebebebe..." maana vinginevyo ntavunjika hehehehheee.

Hahahhaha kama nakuona vile na miwani yako hiyo teh teh teh.

Ila ukiwa unajua kucheza wimbo/nyimbo hata faragha pia unakuwa mtaalam maana unatumia idea zile zile za kunyonga kwa mziki.
 
Hahahahahahaaa acha uchokozi banaa hakuna kitu kimebaki hapa. Kwishney babugy kisha habari yangu kabisa heheheheh
 
Yawezekana usiweze kwa % 💯 lakini % 50 za uchakarikaji kuufikia ulipo mwisho wa mlima bado unazo.

Tena mapigo yanakuwa slow kama unacheza nyimbo za akina Hilton
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom