Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.
Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.
Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.
Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....
Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....
Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana [emoji16] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28].
Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.
Jumapili njema nyote.
K' Matata.
Asante ngoja nirud kulalaPoleee
Mi utamu yangu nzuri
Utamu... Utamu... Utamu... Bado nawaza ni utamu gani huu?Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.
Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.
Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.
Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....
Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....
Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana 😁 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅.
Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.
Jumapili njema nyote.
K' Matata.
That's really madamUkiendekeza utamu kweli unafilisika huku unajiona.
hahaha just utamu mkuu..!What have I just read!?
Aaaa wapi!! Ng'ombe hazeeki maini kasieSiwafahamu hao unaowaongelea na hawakuingia kwenye hii mada niliyo itajaa.
Miaka yetu tunaenda sokoni tukiwa tumefunga khanga kiunoni utamu ulikuwa utamu. Siku hizi sijui maana mie nimezeeka.
That's really madam
Mzee alikua na wake watano tulio kuwa tunawafahamu.
Siku ya msiba tukaletewa madogo kama 6 kutoka kwa mother ambao hawakuwa lasimi.
Nguvu ya utamu isikie tu.....
Kabla sijabarehee nilikuaga nawashangaa mabro wanarudia makosa aliyofanya Mzee, come to realize the power of utamu is an incomparableDuuh hatariii utamu una nguvu za uvutano za asili zaidi ya nguvu za sumaku.