utamu unakolea....

Ha ha haaaaaaa umeuaaa...
ukweli hata si utani....hiyo ilikua boarding school..na kitafunio ilikua ni mara 2 tu kwa wiki...akaona isiwe tabu...acha aasume
 
jamani mbona cocacola wanaendesha mashindano kimyakimya hivyoo....

Unataka kupewa taarifa wakati nusu chupa huwezi kunywaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
kozo okamoto si ungenambia tu mdogo wako nkakupa mboga nimepika mahanjumati tele tu hadi vimebaki naweka frijini....

Halafu hujapata changu maskini....

dah kweli leo neema itaniangukia,kila siku nalilia unionjeshe hutaki,leo umekubali? dadadeki!!!!,ngoja nikanawe mikono baharini ndo nije......sijapata lichangu lilionona,bado natafuta lililonona
 
dah kweli leo neema itaniangukia,kila siku nalilia unionjeshe hutaki,leo umekubali? dadadeki!!!!,ngoja nikanawe mikono baharini ndo nije......sijapata lichangu lilionona,bado natafuta lililonona

Kwani hiyo mikono ina nini hadi ikanawiwe baharini😱😱😱😱
 
Unataka kupewa taarifa wakati nusu chupa huwezi kunywaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
haya bana,,,nawaona cku hizi wana wa ''pm'' wanywa chupa nzima wakija na promotion...
 
Mna utani na makabila ya watu si bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…