utamu unakolea....

niliwahi kula wali kwa uji wa mchele..
nilikosa mboga,mchele upo,nikaupika uji.
 
niliwahi kula wali kwa uji wa mchele..
Nilikosa mboga,mchele upo,nikaupika uji.

mbona rafiki yangu enzi hizoo,alishawahi kunywa chai na blue band
 
mh! halafu mbona mkono wake msafiiiii km vile hajala yeye huo ugali tangu mwanzo? huyu anatuzuga hahahahahaha hapo kapiga hiyo picha kutuchekesha tu hapa hahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…