Utamu au uchungu ..!?

Utamu au uchungu ..!?

Assume tumeishi mimi na wewe miaka minne sijatoa mahari kwenu wala wewe huwajui ndugu zangu wote,hatugombani wala hakuna mgogoro wa kutisha ukiachilia mbali ile ya kibinadamu tu

What would you do?
sitoishi miaka minne kama mke na mume bila ndoa…..
 
Kwa upande wa wakristu amri ya 7 inasema...................................

Kwa ndungu zetu waislamu wanasema usiikaribe dhinaaa........................................

Kazi kweli kweli............................kuuona ufalme wa allah ni kazi
 
Najaribu kutafakari hii topic maana inanihusu kwelkweli. Myself niko kwenye uhusiano na mdada 1 amabye bd yuko college, Moyoni mwangu napata amani sna hata ninapoomba Mungu kuhusu mke nasikia ohoni kuwa huyo uliyenae ndo wangu . Hatujafanya mapenz zaid ya kushikana na mengneyo . Kuna wazo huwa linakuja kuwa nikae nae mpak nifunge ndoa ndipo nimjue hy mwenz wangu kimwili. Lakini nkiangalia dunia hii huy mwanamke ataniona mtu wa namna gani nkimwambia hivyo bdo niko kwnye hatihat kwelkwel nampenda huy dada maana Ushuhuda wa Rohoni ndiye mke mtarajiwa hebu nisaidien au nifungue thread ya Yangu Yenye Title: Niko NJIA PANDA
 
Fungua thread .!!
 
hongera kama umeweza kuvumilia na umeweka nia ya kuto mnanhi endelea mpaka ufunge ndoa
very few are like you big up men
Anything is possible it only depends on your belief.
 
Kuishi na mtu b4 ndoa ni kisababishi kabisa ya ndoa kuisikia kwa jirani.Mnapokuwa karibu ni rahisi kusomana sana sasa hapo ndo inapokuwa tatizo....maana kuna tabia ambazo hazina dawa.
Hiyo sio kweli...hizo ni tabia tu za kiafrika tena za kinafiki....mbona wazungu wanaba-njuana daily....bila hayo mambo ya ndoa wala nini...! Sasa kama una tabia chafu si bora zifahamike mapema na ili jamaa akumwage..kuliko kuolewa halafu kesho unapata talaka!
 
Mimi nipo katikati,kitendo cha mwanamke na mwanaume kuishi kama mke na mume kinawapa nafasi za kujisoma mapungufu yao na kumchunguza mwenza wako kwa umakini zaidi kama ni mtu sahihi wa kufunga ndoa nae na ndio maana ni kawaida sana kwa wazungu kuishi pamoja kabla hawajafunga ndoa kama wapenzi tu na kwa upande mwengine wa shillingi nakubaliana na huyo rafiki yako kwamba inajenga mazoea kwahio inapunguza ule mshawasha wa kutaka kufunga ndoa haraka iwezekanavyo ili muwe pamoja muda wote kwasababu ukifikiria tayari mpo pamoja na kila mtu anatimiza wajibu wake so kuna umuhimu gani wa kugharimika kwaajili ya ndoa?Na hili linapelekea wengi kuishi pamoja kama mke na mume kwa muda mrefu na kusahau kabisa suala la ndoa....

kwani ndoa ina gharama? ama nyie ndio mnaleta gharama.... nijuavyo mimi.. ndoa ni makubaliano baina ya watu wawili ambayo kawaida hua mbele za MUNGU akiwakilishwa na viongozi wa dini.. sasa hizo gharama mnatoa wapi?
 
kumbeeeee mi unanipaga pepa makusudi

Najaribu kutafuta mahusiano ya nilichokisema na alichokisema niliyem quote na ulichokuja kukisema wewe nakosa kabisa!
 
hongera kama umeweza kuvumilia na umeweka nia ya kuto mnanhi endelea mpaka ufunge ndoa
very few are like you big up men
Anything is possible it only depends on your belief.
Kwanini unampa hongera?
 
Siku hizi watu wanachukuana wanazaa baadaye ndiyo ndoa,inaitwa kupasha kiporo.
 
Najaribu kutafuta mahusiano ya nilichokisema na alichokisema niliyem quote na ulichokuja kukisema wewe nakosa kabisa!

hahahahaha nilijua tu ningekuwa mimi ndo uliemquote ungenibandika swali lol
 
ndoa nyingi siku hizi ni lazima uonje kwanza asee
 
Back
Top Bottom