duh na ww yamekukuta? Maujanja yanatakiwa hapa ni namna gn tujikwamue ktk hili lol
All u need to do..ni kuwa mwangalifu na aina ya mwanamke ambaye unamchagua,utaangalia mwenendo wake..utaangalia hata maongezi yake..ila Mungu pia anahusika sana. Maana wengine ni good pretenders...!
una maanisha linahitaji masters na majani pia!!!!!ngoja wenye "digirii" waje kukupa maujanja,mana naona hili nalo linahitaji masters.:majani7:
aaaaaah!!kumbe wewe ndo ulisababisha yule jamaa kawa chiziiiii!!!okLike me, mmoja nilinchezea akanunua gari, kiwanja akajenga alivyopaua tu nikamdiss! LOL
ahahahhahahhahhahahahah umenifanya nipaliwe ujue!LOL!Like me, mmoja nilinchezea akanunua gari, kiwanja akajenga alivyopaua tu nikamdiss! LOL
Like me, mmoja nilinchezea akanunua gari, kiwanja akajenga alivyopaua tu nikamdiss! LOL
Huku kitaa kuna jamaa mme wa mtu kanachezewa kinoma, kuna duu alikuwa ametembea nae baada ya siku kadhaa akamwambia ana mimba ampe laki tatu akaitoe jamaa akachomoa akampa sasa kaduu kamenunua flat screen kanakula bata tu, jamaa hata aelewi.

Zinauzwa laki tatu siku hizi au ndo za hu jin tao? Au alijazilizia?
Mi sinunui k hata siku moja
Like me, mmoja nilinchezea akanunua gari, kiwanja akajenga alivyopaua tu nikamdiss! LOL
aahahahahhahahaha acha ubahili banaaa!Zinauzwa laki tatu siku hizi au ndo za hu jin tao? Au alijazilizia?
Mi sinunui k hata siku moja