Utamtambuaje kama ni rijali?

Utamtambuaje kama ni rijali?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habarini Mabibi na Mabwana Awali ya yote ndo nimejongea tena kwenye fani yangu ya KUWAFUNDA/KUWAPA SOMO murua ambalo litakufanya uwe mdadisi, m TAFiti , na mchambuzi wa mambo na vilevile kupata ufahamu mpya ambao utakutoa sehemu ulipo na kukupeleka sehemu ingine.

SOMO MAHUSUSI KWA WADADA Leo somo hili linabase kwetu sisi namna ya kutambua, kumjua mwenzi wako kiuhalisia wakati wa mwanzo wa mahusiano yenu baina yenu mnakuwa watu wenye furaha namihemkko / bashasha za kimapenzi wala huwezi jua mwenzio yuko kamili au si kamilina vilevile inapelekea hata ukiambiwa na watu kuwa huyo uliyenaye hayuko kamili hukowewe unaona kama wanakuizingua na kukuondolea ndege wako kumbe wanakusaidia tupindi ukifunga naye ndoa tu ndo unajua matatizo ya mwandani wako , na hapo unaanzakujuta na wakati ulishapewa taarifa mapema ili uweze kujitenga naye.

HATUA ZA KUFANYA WAKATI WA MWANZO WA MAHUSIANO
Wakati mko kwenye hot love ni vyema ukaanza kumsoma mwandani wako huyu yeyehajui ni kitu gani unamsoma, kwa kufanya ishara ambazo wewe utajua kuwa anapandaau hapandi mizinga bila kugusia chochote kwenye miili yenu kwani kufanya hivyo nje yandoa ni dhambi mpaka ndoa ndo ufanye tendo hilo.

Vile vile kuwa makini na wanaume ambao nyuma wamepigwa kitambaa kwani mbele wanakuwa wamekandikwa kama maandazi yanavyoimuliwa, usipende kuwa na mahusiano nawanaume wa dizaini hiyo shostito kwani watakufanya uhemeheme bila sababu yoyote.

watakuletea magonjwa maana wengine si wasafi wa huko chini wanachojua wao ni usafiwa uso lakini huko chini ogopa na wengine kufua nguo za nkati inakuwa ni mbinde mpaka Nov.

Bestito Ogopa sana wanaume vimbaumbau wana high speed watakufanya uwe mgonjwa kila mara wakati mzigo umeshakamilika.

Kuwa makini nao uwe mtu mwenye busara siku zamwanzo usipende kutoa mwili wako hovyohovyo kwa hao watu hawana shukrani kabisa badala yake watakutupilia mbali na kusema haaa!! nilisham kuwa makini bestitowewe ni mwanamke wa muhimu sana na unapendeza ulivyo jipende, jitunzena jiheshimu utakapojiheshimu utaheshimiwa


cc: Mamndenyi, Kongosho, mwaJ, mwallu, Heaven on Earth, Lady doctor, Passion Lady, snowhite, Eveln salt, gfsonwin, The secretary, Bujibuji, Mtambuzi (ingawa utaki kunilike), Erickb52, Excel, Kaizer, mshana jr, C6 nana marafiki zangu wote karibuni hapa tushare hili somo

NB: Naomba sitaki mihemko ya kiutani hapa tunaelimishimana na kufundishanakama kuna niliowaboa samahani

Wasalaam,
Ladyf
 
Kwa hiyo hapa unataka wadada waanze kutaja nani rijali na nani sio au? ladyfurahia...

Halafu hao wa kusubiri mgegedo hadi ndoa ndo wakwapi siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Sijasema kuwa wataje bali soma vizuri utaelewa kisomo kinasemaje pale juu
na wale wenye kungoja mpaka ndoa wapo sana bestito sema wewe paroko
hujawatambua mwambie mungu akufunulie utawaona tu

halafu umeingia kwa pupa ................... Baba paroko............
kwa hiyo hapa unataka wadada waanze kutaja nani rijali na nani sio au? ladyfurahia...

Halafu hao wa kusubiri mgegedo hadi ndoa ndo wakwapi siku hizi
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Njooo nikwambie kitu Husninyo
 
Last edited by a moderator:
Sijasema kuwa wataje bali soma vizuri utaelewa kisomo kinasemaje pale juu
na wale wenye kungoja mpaka ndoa wapo sana bestito sema wewe paroko
hujawatambua mwambie mungu akufunulie utawaona tu

halafu umeingia kwa pupa ................... Baba paroko............

Iwe kwa pupa au la ila ndo nimeshaingia maana umeniita ngoja nimstue na amu aje asome hapa
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua rijali, gusa utosi tu, ukiona unadunda kama wa mtoto mchanga mkoe kwa nguvu, lazima kwaya iitikie korasi. Basi unamwacha ana enenda kwa amani yake.
 
SIjaelewa uhusiano wa uchafu na ma.ta.ko pasi aka furushi la zambi mbele, hebu fafanua
 
Back
Top Bottom