Utamsikia mama haya nendeni mkacheze mbali baba yenu amechoka hataki makelele

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,593
5,203
Hongereni sana wa mama wa zaman mlikuwa na mbinu sana mkitaka kupata haki yenu ya ndoa utasikia haya kachezeni baba anapumzika hataki kelele.

Hapo sasa mdogo kama hataki kuondoka utasikia fulan wewe ndio mkubwa hapo haya mchukue mdogo wako mkacheze wote ,yaan mama huwa anawabembeleza watoto wakacheze.

images (3).jpg
images (4).jpg
images (7).jpg
images (8).jpg
images (5).jpg
images (6).jpg
 
Hongereni sana wa mama wa zaman mlikuwa na mbinu sana mkitaka kupata haki yenu ya ndoa utasikia haya kachezeni baba anapumzika hataki kelele.

Hapo sasa mdogo kama hataki kuondoka utasikia fulan wewe ndio mkubwa hapo haya mchukue mdogo wako mkacheze wote ,yaan mama huwa anawabembeleza watoto wakacheze.View attachment 2081925View attachment 2081926View attachment 2081928View attachment 2081931View attachment 2081932View attachment 2081933
Mna bahati sana.Ingekuwa mimi,ningewasafirisha muende kwa mjomba wenu mkakae wiki mbili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom