mimi niliwahi kumfata madame alikuwa anafundisha (chuo) kasahau kufunga kifungo cha blauzi nikaenda na karatasi flani hivi nikajifanya namuomba anielekeze kitu kijanja nikampa ujumbe wake
Ila hapo unatakiwa hakikishe wengine wasigundue unachofanya
Mhm dear...nimecheka sana duh!
cheka uongeze siku za kudumu duniani, hivi kabla hujaona si ulinuna?
aje aone yako nin dear...?
zip mama nimefunga lakini!!!