Utamshtuaje mtu aliyesahau kufunga zipu?

Utamshtuaje mtu aliyesahau kufunga zipu?

je mama mkwe anapo kaa mbele yako afu akakaa vibaya utamwambia?chukulia mazingira kuna jambo la muhimu anakwambia au mnaongea utafanyaje...?
Aisee mwanamke anapokaa vibaya lazima anakutega,hawezi kujiachia hivo,sijawahi kuona mwanamke kaka vibaya,akikaa vibaya lazima kuna lake
 
Aisee mwanamke anapokaa vibaya lazima anakutega,hawezi kujiachia hivo,sijawahi kuona mwanamke kaka vibaya,akikaa vibaya lazima kuna lake
mkuu sasa ntu umri wa bibi ako anakutegea nini wewe kuna mujarabu anakaavibaya,
 
Sasa blauzi hapo si unakuta labda alikuwa na nia yake ya kutega,si unajua wanawake wengine wanafanya makusudi

Viol madame mtu mzima atiii makamo kama ya anne makinda
 
Last edited by a moderator:
Nipo tu,
Nilikuwa nakuona kwenye bandiko lako la ndoa;
vipi maendeleo ya ndoa yako mpya?

Hawajambo huko kwetu kukaja.

haaaaa ndoa imetuliaa, honeymoon tulifanya Gracio hotel pale paris
 
Tumeseme Lecturer,Pastor au MC,yupo mbele ya watu wengi na kasahau kufunga zipu.

Utamsaidiaje?

Avatar yako inafanana na ya @24hrs na excellent kwani nyie mna undugu na jamaa yangu yuko Russia?
 
Last edited by a moderator:
Avatar yako inafanana na ya @24hrs na excellent kwani nyie mna undugu na jamaa yangu yuko Russia?

Mkuu we umebadili jina la id na avatar,maana kama unanifaham nitakuwa nakufaham pia.
Nilibadili id kuwa 24hrs,ile kubadili tena niwe excellent kukawa na mtu amejirejista nalo ashanipora,kwahiyo hata huyo uliyemention si mimi wa awali
 
Last edited by a moderator:
Kuna demu alisahau kufunga zipu ya suluari nilivyomuona nikamwambia dada funga zipu yako.
Heee alinipa mipasho nikaona niachane naye
Kuna watu wengine hawakubali kulekebishwa makosa yao.
 
Kuna demu alisahau kufunga zipu ya suluari nilivyomuona nikamwambia dada funga zipu yako.
Heee alinipa mipasho nikaona niachane naye
Kuna watu wengine hawakubali kulekebishwa makosa yao.

Yah hiyo kweli mkuu,sijui kwanini we unamwambia kama kumsaidia ila mtu anakuletea mipasho.
 
Back
Top Bottom