Utamshobokea yupi kati ya hawa?

Kumbe na wewe ni inji? sikujuaga hili!
Kwa maelezo yako wanangu kamwe hawatasoma Engineering.Itabidi wawe Mamodo.
take care, watamegwa sana kwa sababu watakua ni wauza sura kwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
heeeeeeeeeeee! tena!??? sasa jamani wasomee nini?
ok, watakuwa wahubiri wakubwa ,mitume na manabii.Hapa nadhani panafaa.
hahahaaa, watchout wasije kua wabishi na viburi kwa serikali kwenye ishu za maslahi ya taifa kama umeme, hapa namzungumzia KAKOBE!.
 
ukiwa pale udsm,
dem akiwa COET vidume wanajiuliza mara mbili mbili kumaproach
dem anatembea na scientific calculator masaa 24
 
Kwangu mm, ni lazima mwanamke awe na hivi au mchanganyiko wake au kimojawapo
1) Awe smart - intelligent
2) Awe mzuri (kwa maana ya beholder)
3) Awe na pesa

kama hana hata kiojawapo kwangu hana nafasi!! Geof mshiki najua amepita kwenye vigezo hivyo!!
Nahisi kama hamjamjibu swali lake. Yeye amesema mwanamke,hakuzungumzia mpenzi. There are so many women and men that we admire and like in our life, not necessarily wapenzi! i stand to be corrected, maana akiwa na mapesa na hana mapenzi hata kidogo kwako itakuwa bussiness relationship!!
 
haya, na ww jibu basi!! halafu elezea mapenzi ni nini, mapenzi kidogo na mapenzi mengi ni yapi
 
nimefurahi kukuona dearest......
nakuchagulia...MERCY..LOVENESS..FAITH..pendekeza hapo dear.
do i smell nyamayao here? mmmh kweli alisuggest hiyo name kafikiria maana limekubalika kabisa?
 
ukiwa pale udsm,
dem akiwa COET vidume wanajiuliza mara mbili mbili kumaproach
dem anatembea na scientific calculator masaa 24

Hahahahahahah! We Geoff naona leo umeamua kutuchekesha humu.
 
hehehehe!
mkuu sikutanii kabisa
ukiwa na dem wa COET hayo ma-bash utayasikia bombani,au mkienda bash anaenda na summary za MECHANICS OF MATERIALS
 
kwa hiyo kale ka-binti ka xpin kasomee uchumi wa nyumbani na Lishe? (Home Economics and Nutrition)
 
bora!
nitamshauri hivyo
ka-binti kasomee kazi za kawaida tu,
kasomee utalii,
kazi za office
bussiness administresheni
arts
mass com
na mambo kama hayo
 
kwa hiyo kale ka-binti ka xpin kasomee uchumi wa nyumbani na Lishe? (Home Economics and Nutrition)

He! Hivi nilikuwa wapi? Huu uzi umekimbia kwa kasi sana! Mi ka kwangu bana kasomee yale mambo wanasemaga ya hoteli menejimenti! Si yanahusiana na kuchoma mdudu na kufungua vizibo? Au kutandika mashuka?
 
hehehehe!
mkuu sikutanii kabisa
ukiwa na dem wa COET hayo ma-bash utayasikia bombani,au mkienda bash anaenda na summary za MECHANICS OF MATERIALS
uko sahihi mkuu!,
mai waifu aliniambia aliwai kwenda disko two times only in the 4 years she spent there!!, tena hiyo mara ya mwisho alikua anaona muda hauendi kabisaaaa!, akili yote ilikua kwenye Dynamics of Structures na Numerical Methods in Structural Engineering
 
He! Hivi nilikuwa wapi? Huu uzi umekimbia kwa kasi sana! Mi ka kwangu bana kasomee yale mambo wanasemaga ya hoteli menejimenti! Si yanahusiana na kuchoma mdudu na kufungua vizibo? Au kutandika mashuka?
leo foleni ya gest si n'chezo
 
uko sahihi mkuu!,
mai waifu aliniambia aliwai kwenda disko two times only in the 4 years she spent there!!, tena hiyo mara ya mwisho alikua anaona muda hauendi kabisaaaa!, akili yote ilikua kwenye Dynamics of Structures na Numerical Methods in Structural Engineering

I am not an engineer! But Engineering, especially structural engineering seems to be an interesting discipline to me. Napenda sana kuangalia documentaries kwenye National Geographic Channel. Programs kama, Seconds from Disaster, Mega Structures na Big, Bigger, Biggest huwa vinanifurahisha sana!
 
sasa hivi vitu kwa mwanaume SAWA!
kwa mwanamke hapana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom