Utamsaidiaje Huyu????

Dada yangu hiyo kali sana tena sana yaani ulale huyo nyoka umeshapishana naye aua bado, huyo Mamba umeshatumbukia mtoni aua bado mpaka ukalale kuziba shingo
Hizo hadithi Mama tulihadithiwaga ukijifanya kuzirai bila kutoa pumzi eti umekufa Simba hakuli eti anakunong'oneza
Ngoma kabiliana na nyoka kwanza tishiana nae na vunja tawi mtandike hasa au mtie kabali maana ni rahisi sana kujirudisha tawini na kuvua shati na kumrushia nyoka na kumkaba saudari hilo tawi km halitaanguka na mti ntamwambia jamaa acheze na kipisi cha mti wa tawi kumuingizia mamba au Simba mdomoni na mangumi kwa sana na wote watasambaratika huo ndio ushujaa wanasema pamabana na Kifo kabla
 
Last edited by a moderator:

dah!! Wewe ni mtu hatari sana! (huyo nyoka akikusikia...!!)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…