kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Alikuwa mchafu anavaa jezi siku 3 suruali 1 wiki, 😁😁 alafu kule kwenye sita kwa sita anapiga kelele sana hadi anaboa alafu ana mkono wa kupiga, wivu ila kwenye kujali ubahili ni mwingiSema sema tujue wote alikuaje huyo jamaa