nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 2,579
- 8,144
😀 Acha yachache tuHupashagi makabichi
😀 Acha yachache tuHupashagi makabichi
ukiona uzi wako hauna wachangiaji,unaweza ukamreply yeyote kusudi uingie ktk chati ya new threads na kuonekana kwa member wengineNatoa maoni yangu tu mkuu hivi JF kumbe kuna kubust
🙂
Nina maex wengi aisee Yule msukuma aliyenipiga siwezi kumrudia heri nifeNatumaini ni kwema wakuu.
Utamrudia Ex-wako ama bora kufa?
Uzi tayari
Cc: Binti Sayuni03 | To yeye | Anastasia21 | Lamomy | holoholo | Poor Brain | Fanton Mahal | secretarybird | nakwede97 | Principle girl | Marcy | Joanah | broo Evelyn Salt
Source: Marioo - Dear Ex
Mkuu mkeo hajambo 😁😁ukiona uzi wako hauna wachangiaji,unaweza ukamreply yeyote kusudi uingie ktk chati ya new threads na kuonekana kwa member wengine
Hunitakii mema kabisa naona😁😁Haha si bora umrudie akupige ufe uwe umekamilisha yote mawili
🙂
Mkuu kwani wewe ni Marioo?Natumaini ni kwema wakuu.
Utamrudia Ex-wako ama bora kufa?
Uzi tayari
Cc: Binti Sayuni03 | To yeye | Anastasia21 | Lamomy | holoholo | Poor Brain | Fanton Mahal | secretarybird | nakwede97 | Principle girl | Marcy | Joanah | broo Evelyn Salt
Source: Marioo - Dear Ex
hapana mimi ni member wa jf angu 2023Anhaa kumbe ushausoma mfumo! we ni mod kaka?
😀
Yeah! Ninaye sema hakuwahi kunipiga huyu angekuwaga na pesa angenioa maana ni mkurya wa tofauti sana😁😁😀 😀 🙂
Jirani yangu hivi una Ex mkurya?
Mkuu mkeo hajambo
Alikupasua!Nina maex wengi aisee Yule msukuma aliyenipiga siwezi kumrudia heri nife
Alinivimbisha jicho, ni wivu tu hakuna kingine mshenzi kabisa yuleAlikupasua!
Wivu ama kitu gani?
Ninakuunga mkono, kuwa na mpenzi mpiganaji ni bora kufa.
Yeah! Jirani niliona hakuna future aiseeHahah kwaio ukamtema kisa pesa jirani