Utamrudia Ex-wako ama bora kufa?!

Utamrudia Ex-wako ama bora kufa?!

Nahisi wengine sijui tuna matatizo!! Ex's wangu wengi tumebaki washikaji. Imagine ex mnakopeshana pesa,mnachangiana michango mbalimbali,mkikutana sehemu mnapiga stori fresh kama hakijatokea kitu. Mnatambulishana hadi mke/mme.

Inategemeana na aina ya mahusiano mliyokuwa nao. Most of my ex's tunakuwa na mahusiano fulani ya kushibana kiaisi kwamba hata ikitokea hali ya ku_break up,basi tunajadiliana kirafiki na kwa uwazi zaidi.

Achana na hawa kunguru wa kamata Chinja ukiwa viwanja,wenyewe mnakuwa washikaji kiasi kwamba hata kesho ukimkuta na bwana mwingine,unazuga tu kama hakijatokea kitu.
 
Itategemeana na nafasi kuwepo. Ma ex huwa bora muda wote kuliko wapya ndio maana kuna dhana ya kupasha kiporo
 
Nahisi wengine sijui tuna matatizo!! Ex's wangu wengi tumebaki washikaji. Imagine ex mnakopeshana pesa,mnachangiana michango mbalimbali,mkikutana sehemu mnapiga stori fresh kama hakijatokea kitu. Mnatambulishana hadi mke/mme.

Inategemeana na aina ya mahusiano mliyokuwa nao. Most of my ex's tunakuwa na mahusiano fulani ya kushibana kiaisi kwamba hata ikitokea hali ya ku_break up,basi tunajadiliana kirafiki na kwa uwazi zaidi.

Achana na hawa kunguru wa kamata Chinja ukiwa viwanja,wenyewe mnakuwa washikaji kiasi kwamba hata kesho ukimkuta na bwana mwingine,unazuga tu kama hakijatokea kitu.
Story yako ni interesting, hapo kulana ni anytime ma-Ex ndio wanakuwa michepuko yako pro max
 
😂😂 hakika ila cha msingi ni kuweka tu mipaka. Ila kuna watatu (3) hivi nahisi wana chuki bado maana walifanya vurugu zote ili niwaoe coz niliwatoa bikra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom